Nimeshindwaa kulala natafakari mengi...

Pole Sanaa boss...but Kama Bado yupo jaribu kumsikiliza na pia mruhusu nae akuskilize,,,Kama Kuna ugumu wa kumsaidia bs mueleze na umpe na sababu ili aende zake
 
Mpigie simu mlinzi muulize yupo wapi?
Mpigie simu jirani yako muulize kama anasikia hizo kelele,
Lakini kubwa zaidi USIMFUNGULIE mlango huyo mtu, wala USIMSEMESHE kaa zako kimya ikiwezekana weka earphones masikioni ukibembelezwa na mziki murua kabisa.
 
Usithubutu kufanya huo ujinga wakumfungulia utajutaaaaa.....
Halafu huyo mzee anayekupa lift sio mtu mzur

Jiandae kwa misukosuko
Omba Sana
Sali sana
Yanayokuja sio mazur
Jiandae
 
Yaani umfungulie mtu usiyemjua usiku!!!!! Sio watu wote waendeshao magari/watembeao kwa miguu barabarani wana kazi halali, kumbuka pia wanawake/watoto wanatumiwa sana kwenye uhalifu. Hiyo nyumba mtaanza kuchorewa ramani muda si mrefu.
 
Kuwa makini sana usiconclude kuwa mlinzi hayupo kwa maneno ya kuambiwa na mtu ambae hujui ana nia gani what if is a set up? Kuwa makini alafu usiku mnene hivyo sio mda wa kuruhusu maongezi utajazungumza na majini na wachawi utoke watokomee na wewe kusikojulikana.
 

Mkuu amka kumekucha ujiandae kwenda kazini alafu utuambie nini kiliendelea.
 
WaTz tumekua na roho mbaya wakati tupo uchumi wa kati.

So mwizi anajizungusha na Prado ili iweje? Plus alikuona ukiingia getini ila hakuona room uliyoingia.

Mleta uzi nataka ujue kua ni kawaida wanaume tukisindikiza mtu hatuondoki mpaka tuhakikishe kaingia ndani.

Anyway, kwakua moyo wako una hofu basi achana na kumfungulia geti. But what if ukiamka leo ukakuta kuna maiti ya mwanamke hapo barabarani? Utaishi unajiuliza 'Vipi kama ningefungua? Ningeokoa maisha yake?' ili nisijiulize haya maswali ndiyo maana hua nakua msaada katika scenarios ambazo ni ngumu muda mwingine.

Uchaguzi ni wako tho.
 
Wale watu wa kula tunda kimasihara lazma tutakuandama mkuu ...unaachaje pisi Kali hiyo
 
Ulichokifanya ni sahii; Dunia ya leo imebadilika sana, kwa nini iwe saa nane usiku, kwa nini asiende polisi, kwa nini an'ga'nganie mlangoni kwako?
 
Yaani umfungulie mtu usiyemjua usiku!!!!! Sio watu wote waendeshao magari/watembeao kwa miguu barabarani wana kazi halali, kumbuka pia wanawake/watoto wanatumiwa sana kwenye uhalifu. Hiyo nyumba mtaanza kuchorewa ramani muda si mrefu.
Ata me nimwlifikilia ilo yawezekana kaja kuchora raman aone kama kuna ulinzi maan aligonga geti kwa fujo saana akitegemea lbda angetokea mlinzi mmmmh adi naogopa kukaa nyumba zaatajiri kutwa roho juu alafu hapa kuna supermarket pia pengine kweli ni michoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…