Yaan nikweli kilicho nishinda kumsaidia kingine ni kwa nn nyumba zima kuna get 3 lkn ya kwetu tu ndo aligongaFunga dirisha... Na ulale.. Acha roho ya huruma itakuponza kwa usiku wote huo...
Ukiona huruma inakuzid mwambie alale hapo hapo mlangon mwambie kuna usalama
Sijui aliondoka saa ngap maan nilijua lbda ni usafir lakin pikpik zilipiga nyingi sana wala hakuweza kusimamisha ila kutaka msahada wetu tuPole Sanaa boss...but Kama Bado yupo jaribu kumsikiliza na pia mruhusu nae akuskilize,,,Kama Kuna ugumu wa kumsaidia bs mueleze na umpe na sababu ili aende zake
Nilipga haikupatina pia wenzangu waliniambia nisinyanyuke kumsikilizaMpigie simu mlinzi muulize yupo wapi?
Mpigie simu jirani yako muulize kama anasikia hizo kelele,
Lakini kubwa zaidi USIMFUNGULIE mlango huyo mtu, wala USIMSEMESHE kaa zako kimya ikiwezekana weka earphones masikioni ukibembelezwa na mziki murua kabisa.
Skufanya hvo mkuu lengo la mimi kufungua dirisha nilizani mpangaji mwenzangu lbda katoka kula bata kapoteza funguo kwa maana kipindi nafungua niliita jina la hye dada nikitegemea ni yeyeKuwa makini sana usiconclude kuwa mlinzi hayupo kwa maneno ya kuambiwa na mtu ambae hujui ana nia gani what if is a set up? Kuwa makini alafu usiku mnene hivyo sio mda wa kuruhusu maongezi utajazungumza na majini na wachawi utoke watokomee na wewe kusikojulikana.
Nikweli unacho kiongea mkuu lakin hyo maneno na mimi niliyafikilia kwa upande wangu je nikimsaidia alafu asiwe mtu mzuri atakuwaje...kiufupi mimi nina roho ya huruma sana lakn ule muda usiku wa manena mkuu ndo mambo mengi ufanyikaWaTz tumekua na roho mbaya wakati tupo uchumi wa kati.
So mwizi anajizungusha na Prado ili iweje? Plus alikuona ukiingia getini ila hakuona room uliyoingia.
Mleta uzi nataka ujue kua ni kawaida wanaume tukisindikiza mtu hatuondoki mpaka tuhakikishe kaingia ndani.
Anyway, kwakua moyo wako una hofu basi achana na kumfungulia geti. But what if ukiamka leo ukakuta kuna maiti ya mwanamke hapo barabarani? Utaishi unajiuliza 'Vipi kama ningefungua? Ningeokoa maisha yake?' ili nisijiulize haya maswali ndiyo maana hua nakua msaada katika scenarios ambazo ni ngumu muda mwingine.
Uchaguzi ni wako tho.
Sijui nikupe mfano gan ambao unaweza kuelewa ile nyuma ilivo jengwa ule ukuta ulio zunguka geti kubwa ni vyumba kwa hyo kila vyumba viwili vimejengewa na vyenewe ukuta wa fans na kuwekewa geti kafanya hvo kwa vumba vya nje labda nisema hvo kila malango wa chumba ni cumba na sebre nitakuletea ramani uweze uelewa vzur so ndo maan nikasema get ndogo kwa kuwa nikiwa ndan lile geti kuanzia katikat kurudi juu liko na uwazi ila chin ndo limezibwa kote na chumba chngu mimi nichakwanza hvo nina uwezo wa kuona njeBado na mimi najiuliza" nyumba kubwa yenye geti moja kubwa na mageti madogo matatu uliwezaje kufungua pazia ukazungumza na huyo mgeni wa usiku mnene"
Bro kama usha wahi kumiliki gari basi utagundua kuwa kumpa mtu lift ni kitu cha kawaida tu ata ukimtongoza kuna kukataliwa na kukubaliwa yote ni matokeo na lift zake mimi sio kwamba naziba anajilete mwenyeweYaani huyo mwanaume humtaki kwa kuwa una mchumba wako tayari ila lift unataka?? Hizi habari ukimsimulia mtu wako sidhani kama atakuelewa.
lift hazikatai..Yaani huyo mwanaume humtaki kwa kuwa una mchumba wako tayari ila lift unataka?? Hizi habari ukimsimulia mtu wako sidhani kama atakuelewa.
Okay..wape Hi hapo kaziniMpk naondoka kuja kazini sijamuona
Ujanja ujanja mwingiKinondoni kuna nini mkuu?
Darmian wa Jf,na kama kuna any single lady there usisite kuniconnect naye..Kiddingmmh niwaambie mh. nan anawapa hi?