WaTz tumekua na roho mbaya wakati tupo uchumi wa kati.
So mwizi anajizungusha na Prado ili iweje? Plus alikuona ukiingia getini ila hakuona room uliyoingia.
Mleta uzi nataka ujue kua ni kawaida wanaume tukisindikiza mtu hatuondoki mpaka tuhakikishe kaingia ndani.
Anyway, kwakua moyo wako una hofu basi achana na kumfungulia geti. But what if ukiamka leo ukakuta kuna maiti ya mwanamke hapo barabarani? Utaishi unajiuliza 'Vipi kama ningefungua? Ningeokoa maisha yake?' ili nisijiulize haya maswali ndiyo maana hua nakua msaada katika scenarios ambazo ni ngumu muda mwingine.
Uchaguzi ni wako tho.