Nimeshituka nimekula supu ya mbwa leo

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa katika bwana

Leo nilitoka home asubuhi sana kuna sehemu nilikuwa na promise zangu za hapa na pale na watu wa hapa na pale

Sasa kuna muda fulani njaa ikaniuma sana ikanibidi niingie kwenye kimugahawa fulani hivi nipate supu

Lakini wakati nakunywa ile supu yaani ladha yake ikanishinda kidogo nikawa naona tofaut kabisa na supu zingine aisee, kwanza nyama yake ni nyeus nyeus flan hivi alafu haisomek sijui imebanikwa sijui haijabanikwa

Sasa bahati mbaya kumbe ngozi hawakuchuna vizuri nikaona kwenye mnofu kama manyoya ya mbwa aisee nilichoka hapo hapoa na nikashiba hapo hapo na hapo hapo nikalipa na hapo hapo nikasepa zangu na hapo hapo sikuwambia kitu nikajiondokea zangu

Tuwen makini jamani tusije tukalishwa supu za fisi

LONDON BABY
 
Wewe una asili ya ulozi na uchawi, so hata nyama ya binadamu umeshakula.
Iweje unashangaa kula supu ya Mbwa?
 
Sasa imekushinda nini hiyo supu ya mbwa we kila siku unakuja na mambo za kula nyama za watu mara fisi imekuwaje leo kwa mbwa au sababu ulikuwa na akili timamu sio zile za uchawi
 
Na usijishangae ukirudi home ukajikuta unazurura tu nje[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Ayaaaaaa ni wapi mkuu namimi Naihitaji mno,,duuuu
 
Haka kajamaa ni kaongo kaongo sana. Kila story yake Ina utata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…