Nimeshtakiwa naomba msaada

Nimeshtakiwa naomba msaada

Sijakupata. Ulihamishia mali kwa mtu mwingine kabla ya kuwa na umiliki rasmi?
 
Melezo yako ni magumu kukuelewa. Ulinunua gari na hukuwa kulipa deni (inavyoonekana miaka mitano au zaidi iliyopita kama nitakuwa nimekuelewa vizuri). Halafu ukaliuza au ukahamisha milki kwa mtu mwingine kinyume cha sheria maana hukuwa na hata milki kwa kuwa huna kadi halisi ya gari (original Card). Nakama nimekuelewa pamoja na kuliuza gari ilo hukutaka kumaliza deni ili upewe kadi na kufanya uhamisho kisheria.
Ki ukweli una kazi kujitetea maana hukutaka kuhalalisha umilki wa gari kumbe gari la wizi na nadhani wamekushitaki kwa kukutwa unamilki mali ya wizi Kisheria inaitwa (possession of stolen property) ambalo ni kosa la jinai
 
according to Tanzanian CONSTITUTION article 84 sub article 3(a) your under arest
 
Hapo kaka msaada wako ni mgumu maana hata maelezo yako ni magumu kuyaelewa.
 
Melezo yako ni magumu kukuelewa. Ulinunua gari na hukuwa kulipa deni (inavyoonekana miaka mitano au zaidi iliyopita kama nitakuwa nimekuelewa vizuri). Halafu ukaliuza au ukahamisha milki kwa mtu mwingine kinyume cha sheria maana hukuwa na hata milki kwa kuwa huna kadi halisi ya gari (original Card). Nakama nimekuelewa pamoja na kuliuza gari ilo hukutaka kumaliza deni ili upewe kadi na kufanya uhamisho kisheria.
Ki ukweli una kazi kujitetea maana hukutaka kuhalalisha umilki wa gari kumbe gari la wizi na nadhani wamekushitaki kwa kukutwa unamilki mali ya wizi Kisheria inaitwa (possession of stolen property) ambalo ni kosa la jinai

HAPO UMENENa
 
Back
Top Bottom