Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Imebidi niangalievzaidi ya x2 ndio nikajua ni yangi diii..
Wanaume wa dar inabidi tuwafanyie NOVENA kwakweli..
Dah Kuna baadhi ya mitindo yatupasa kuwaachia wanawake tu.young dada
sikio katoga
jicho karembua
nywele kasuka
unataka nini tena?
Ina maana Kizazi chake kitakuwa na Spidi kali kumzidi!Halafu ni kama anapiga dua kwa Mwenyezi Mungu vile.
Ila kila nyakati huja na vimbwanga vyake, tatizo sio wao.
Tatizo ni age waliyo nayo
Jina lingine wanamwita Baba Tamali
Hii ndio picha wajukuu wake watakuja kuoneshwa
Mke wangu atabaki natural mileleEti Babu enzi za Ujana wake! Ila unadhani watashangaa? Wataona kawaida maana wajukuu zake watakuwa zaidi yake.
mhn! kama inafanana na mkuu wa wilaya sehemu fulani lakini sio yeye(katika ujana wake)
[emoji23] [emoji23]Mke wangu atabaki natural mileleView attachment 832732
Kama hoja yako vijana wa siku hizi tunaharibika.
R Kelly alisuka.
2 Pac alitoga sikio.
Usher Raymond alisuka.
Snoop Lee alisuka.
Black Skull alisuka.
T.I.D alisuka.
Dully Sykes alisuka.
Zahir Zoro nywele anaweka dawa mpaka leo.
Babu yenu sir Elton tunajua anachofanya.
Msanii akisuka huwezi ukanuna ni kazi yake inamtaka awe hivyo.
Sasa zinakuja nyuzi za kulalamika wasanii wanavaa vikuku mara wanatoboa masikio mara young d kasuka wabongo bwana tuna shida sana.