Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
hahahaha Humchukii mtu wala humpendi ila unamuanzishia uzi!!!??Sasa wewe aliyekwambia nina chuki na huyo kijana nani?
Kuwa basi muelewa rudi usome Kichwa cha uzi usitake kuongea vile unavyojua ili mradi umepewa nafasi ya kuongea.