Mi ni mlinzi wa klabu nakutana nao kila siku.
Kabla ya biashara za mabara Afrika tulivaa nguo?
Hao wazungu waliotuletea nguo mwanzo kabisa hawakuvaa suruali. Suruali ilivaliwa na wahalifu na watu maskini.
Wengine walivaa magauni (Naamini utajisikia poa ukitamka kanzu)
Na unajua viatu walivyovaa enzi hizo?
Vilikua na kisigino kirefu kama cha Angelina Jolie.
Soma history mkuu
Huenda sikuelewi ila nakuambia; Kuna vitu vya kuiga lakini vingine, hebu tutulie kidogo. Je, jamaa ana dadake? Wote wakienda kusuka mtindo huo huo, utawatofautisha?? Hapo aliposuka tuseme ki kwako ameongezea nini katika usanii wake??