Nimeshtuka sana baada ya kusikia hii

Nimeshtuka sana baada ya kusikia hii

we itakua umesoma chuo nje ya nchi au hujapiyia chuo kabisa, hali ya sasa ya vyuo ni mbaya sana kwa kina dad

Unanishangaza unaposema hali ni mbaya kwa kina dada. Je, hali ikoje kwa kina kaka?
Kumbuka hawa kina dada ndio wanataka kujidhalilisha wao wenyewe, kwani chuoni wamekwenda kwa lengo la kusoma na sio kuuza miili yao.
Wanaonadi miili yao, ndio hulka yao.
 
Kusema ukweli na kuulizia habari ndio nawadhalilisha
Are you normal mkuu?

Nakwambia acha kuwadhalilisha watoto wa watu. Inaelekea wewe ni arrogant. It is you who is not normal ! Hii ndiyo habari uliyoiamkia!
 
toa data za kutosha kabla ya kutoa allegation nzito kama hizi siyo source story za vjiweni

Hizi Habari zimezungumzwa sana last month.
Kuanzia kwenye TV, Magazeti, majarida, social forums, e.t.c hivyo sio mpya. Ilitajwa kua kwa Tshs 500 unapata mwanafunzi wa UDOm wa kuburudika nae, iliandikwa hivyo, na hata hapa JF zipo threads zinazozungumzia hilo suala. Labda kama mlipitia tu juu juu.
 
ndugu chuoni ni mahali wanapokutana watu kutoka tamaduni tofauti,malezi tofauti. inawezekana ni kweli baadhi ya wanachuo wakawa na tabia hizo lakini kusema wengi inanipa shida kidogo. ieleweke kuwa mara nyingi jamii iliyo nje ya mazigira ya chuo huchukulia uozo unafanywa na wanachuo wachache na kuongelea kuwa ni ujumla wa wanachuo hicho wkt kuna baadhi ya wnachuo tena walio wengi hajui kabisa juu ya mambo hayo nao wanasikia toka kwa watu wa nje habari za jinsi hiyo
 
Hata hiyo ni nyingi pia.
UDOM mpaka kwa Tshs 500/= unapata!!

Tuache majungu, kwani k zao imekuwa ni pipi???? Hizo ni propaganda za kudhalilisha baadhi ya vyuo na wasomi. Shark umeshawahi kula demu wa chuo kwa jero au buku tatu???

Naamini ukikubaliwa na demu wa chuo jua akupenda tu lakini siyo kwa sababu ya offer ya lunch yako.
 
Last edited by a moderator:
Hata hiyo ni nyingi pia.
UDOM mpaka kwa Tshs 500/= unapata!!

Weka maegemezi mkuu acha habari za ushambenga

College gani
Hostel ipi
Mwaka wa ngapi hao
Unamlia kichakani au??
Wanajiuzia maeneo gani??
 
sasa ina maana hii hali mbaya inakuwa kwa kina dada tu??

je, kina kaka wanapata wapi pesa na ikiwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi ni moja kwa wote wadada na wakaka??

Jibu naomba tafadhari kabla sijaendelea kuchangia hapa!!!!

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!

wakina kaka wanajua kujibana wakipata kidogo wanakula mihogo au mlo mmoja per day afu wanachakarika kivyao ili wapate kula
 
mkuu,nahisi ulikua unaopoa machangudoa coz wapo wengi wanajifanya wanachuo na walikua wanaingia hdi mabibo hostel (my reference 2006/2009) na wanaume wengi wanaopigwa pale kwa kudhaniwa wezi ni sababu hzo za kudanganywa na machangu hao(mfano njo block x saa 3),na ndo issue iliyopo UDOM na SAUT(ingawa wapo wanaofanya hzo dili BUT they are very expensive per se,wanashushwa na G8.
NDO STYLE YA MACHANGUDOA MSIMU KAMA HUU WA BOOM DELAY,TAKE CARE HIV STILL.
 
sasa ina maana hii hali mbaya inakuwa kwa kina dada tu??

je, kina kaka wanapata wapi pesa na ikiwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi ni moja kwa wote wadada na wakaka??

Jibu naomba tafadhari kabla sijaendelea kuchangia hapa!!!!

Mkuu mizambwa, Pamoja na kua hali ya maisha ni ngumu lakini dada zetu wamezidi.
 
ndugu chuoni ni mahali wanapokutana watu kutoka tamaduni tofauti,malezi tofauti. inawezekana ni kweli baadhi ya wanachuo wakawa na tabia hizo lakini kusema wengi inanipa shida kidogo. ieleweke kuwa mara nyingi jamii iliyo nje ya mazigira ya chuo huchukulia uozo unafanywa na wanachuo wachache na kuongelea kuwa ni ujumla wa wanachuo hicho wkt kuna baadhi ya wnachuo tena walio wengi hajui kabisa juu ya mambo hayo nao wanasikia toka kwa watu wa nje habari za jinsi hiyo

Kuna chembe ya ukweli kwa maneno yako maana wengi huwa tuna generalize mambo bila kuangalia chuo chochote ni kama jamii ya watu flani ambao ndani yao kuna watu wa kila aina na sidhani kama ni wadada wote (asilimia kubwa)
 
wakina kaka wanajua kujibana wakipata kidogo wanakula mihogo au mlo mmoja per day afu wanachakarika kivyao ili wapate kula

sasa ina maana hii hali mbaya inakuwa kwa kina dada tu??

je, kina kaka wanapata wapi pesa na ikiwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi ni moja kwa wote wadada na wakaka??

Jibu naomba tafadhari kabla sijaendelea kuchangia hapa!!!!

Mkuu mizambwa, Pamoja na kua hali ya maisha ni ngumu lakini dada zetu wamezidi.

Ukweli mtupu wewe mbaguzi, mbona mizambwa yeye umemjibu na kupitia kwake nimepata jibu kabla ya kwenda kufanya uchunguzi

Kwa mtazamo wangu finyu hapa inabidi wazazi wahamasishwe katika hili tatizo, kwani limekuwa ni janga la kitaifa na siyo kwa wadada peke yao.

Mwanachuo / mwanafunzi ili aweze kufanikiwa inambidi asiwe na mawazo yaani matatizo madogo madogo asiwe nayo akili yake aiweke katika masomo tu na siyo kufikiria leo atakula nini au atapata wapi pesa ya mahitaji muhimu kwake.

Mzazi anapotoa pesa ya ada ni jukumu lake kuhakikisha pia kijana anasoma katika mazingira mazuri, kwani anapoharibikiwa ni hasara kwa mzazi asilimia kubwa kuliko kwa serikali.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Last edited by a moderator:
Akina kaka je? hawajiuzi na kama hawajiuzi wao wana source ingine tofauti na Bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu? au akina dada pekee ndio wanatoka katika familia duni zisizoweza kuwasaidia?? Napata tabu na habari hizi kwasababu hazina uwiano wa kijinsi.
 
Kwani si wanalipwa boom tsh 10,000/= kwa siku, Sasa inakuwaje wahadaike na hivyo vijisenti?
 
Sina imani waandishi wa habari, na kwa sasa nina mashaka na watumiaji wa vyombo ( wasikilizaji na wasomaji) Waandishi hawachambui, kazi yao wameinyima stail yake, wameifanya nyepesi. Walaji kina sisi hatuhoji zaidi hatusomi katikati ya mistari, kisha inakuwa mada.
Hamna , Hakuna mwanachuo utamla uroda kibiashara kwa 500, hata 3000/. hebu niambie huyo umemkuta wapi?, hiyo lunch umenunui wapi kiasi@, kisha mmenda kujivinjari wapi? kwa muda gani (siku/short T). Je hiyo ni price tag au ni pay after service. Watumiaji wa vyombo vya habari, hasa hapa kwa ma-GT chunguzeni.
Hint: Mabinti wa chuo wanawajua wakuwachuna, tena wanawapa pesa ya kutosha, ila wachache humu mkipwendwa/kupewa kisha mkanyimwa next day mnaleta story kama hizo.
Wadada wa VYUO pigeni nondo, kisha kanusheni kupitia media, Uongozi wa wanafunzi vyuoni toeni tamko. Vinginevyo mnaharibu sifa ya elimu yenu si wadada tu hata nyie wa kaka, maana nyie ndo wateja mwanzo.
 
Back
Top Bottom