mashaka-jr
Member
- Apr 28, 2012
- 26
- 2
we itakua umesoma chuo nje ya nchi au hujapiyia chuo kabisa, hali ya sasa ya vyuo ni mbaya sana kwa kina dad
Kusema ukweli na kuulizia habari ndio nawadhalilisha
Are you normal mkuu?
toa data za kutosha kabla ya kutoa allegation nzito kama hizi siyo source story za vjiweni
Hata hiyo ni nyingi pia.
UDOM mpaka kwa Tshs 500/= unapata!!
Hata hiyo ni nyingi pia.
UDOM mpaka kwa Tshs 500/= unapata!!
Hali ya sasa ya vyuo kwa kina kaka ikoje?
sasa ina maana hii hali mbaya inakuwa kwa kina dada tu??
je, kina kaka wanapata wapi pesa na ikiwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi ni moja kwa wote wadada na wakaka??
Jibu naomba tafadhari kabla sijaendelea kuchangia hapa!!!!
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!

Mkuu mizambwa, Pamoja na kua hali ya maisha ni ngumu lakini dada zetu wamezidi.
Ukweli mtupu wewe mbaguzi, mbona mizambwa yeye umemjibu na kupitia kwake nimepata jibu kabla ya kwenda kufanya uchunguziunataka utafuniwe kila kitu nenda vyuoni kafante uchunguzi
ndugu chuoni ni mahali wanapokutana watu kutoka tamaduni tofauti,malezi tofauti. inawezekana ni kweli baadhi ya wanachuo wakawa na tabia hizo lakini kusema wengi inanipa shida kidogo. ieleweke kuwa mara nyingi jamii iliyo nje ya mazigira ya chuo huchukulia uozo unafanywa na wanachuo wachache na kuongelea kuwa ni ujumla wa wanachuo hicho wkt kuna baadhi ya wnachuo tena walio wengi hajui kabisa juu ya mambo hayo nao wanasikia toka kwa watu wa nje habari za jinsi hiyo
wakina kaka wanajua kujibana wakipata kidogo wanakula mihogo au mlo mmoja per day afu wanachakarika kivyao ili wapate kula
sasa ina maana hii hali mbaya inakuwa kwa kina dada tu??
je, kina kaka wanapata wapi pesa na ikiwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi ni moja kwa wote wadada na wakaka??
Jibu naomba tafadhari kabla sijaendelea kuchangia hapa!!!!
Mkuu mizambwa, Pamoja na kua hali ya maisha ni ngumu lakini dada zetu wamezidi.
Ukweli mtupu wewe mbaguzi, mbona mizambwa yeye umemjibu na kupitia kwake nimepata jibu kabla ya kwenda kufanya uchunguzi
Kwa mtazamo wangu finyu hapa inabidi wazazi wahamasishwe katika hili tatizo, kwani limekuwa ni janga la kitaifa na siyo kwa wadada peke yao.
Mwanachuo / mwanafunzi ili aweze kufanikiwa inambidi asiwe na mawazo yaani matatizo madogo madogo asiwe nayo akili yake aiweke katika masomo tu na siyo kufikiria leo atakula nini au atapata wapi pesa ya mahitaji muhimu kwake.
Mzazi anapotoa pesa ya ada ni jukumu lake kuhakikisha pia kijana anasoma katika mazingira mazuri, kwani anapoharibikiwa ni hasara kwa mzazi asilimia kubwa kuliko kwa serikali.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Waandishi uchwara wanaandika mambo uchwara kwa jamii uchwara!Hata hiyo ni nyingi pia.
UDOM mpaka kwa Tshs 500/= unapata!!
Achana nae huyo,shida yake aone picha za akina dada wakiwa nusu uchi au uchi basi.watanzania twapenda picha? sijui tuna ugonjwa wa pichaimosis!
Source tafadhali, ikiwezekana weka na picha