Nimeshtuka sana baada ya kusikia hii

Nakumbuka chuoni kuna usemi tulikua tukiutumia 'kupiga pasi ndefu' ina maana unaweza kushtua asubuhi then mpaka jioni! Au ukavuta muda mpaka saa sita ukishakula unasubiri jioni ugonge chai na ndazi mbili ulale!
Kwa upande wa mabinti,nakumbuka walikua wanakuja canteen wanazuga unasikia 'najisikia nimeshiba' halafu wanashare sahani moja watu watatu!

Hali ni mbaya wadau,tofauti na vile tunavyoweza kufikiri,ndio maana wale ambao sio wavumilivu wanagegedwa kiulaiini! Tukumbuke njaa haina baunsa!
 
What should we do? Mulugo kapiga Open Univ, Kawambwa abroad. Hawajui lolote
 
 
Vyuo vikuu almost vyote tz ,mambo ya ufuska kwa sasa imekuwa kama sehemu ya sylubus.fanyeni mabinti wng wakihitimu wanalivyo na hamu kubwa kwnda chuo,si kwa ajili ya kupata maarifa,wanaishia kununua nguo{takataka}hata wenye malezi mazuri wakifika chuo basi ndo ivo tena."AMA KWELI KANGA HATAGI UTUMWANI"
 
Na Baadhi ya wavulana sasaaa! Wamekakaa mabinti,wamejilegezalegeza,visuruali wanavyovaa,vyembamba kama chupa ya soda.wanavyotembeaa sasaa!ETI Tz uti wa mgongo ni kilimo"nani wa kuwaza kilimo kizazi hiki cha wasomi wa ivi.poleni wenye maofisi yenu. Subirini wasomi wakuajiri
 
dats a criminal offense naomba uwatake radhi dada na mama zako.
MUOGOPENI MUNGU AMBAYE SIFA YAKE YA KWANZA NI MWEPESI WA KUSAMEHE NEA YA PILI NI MKALI WA KUADIBU
 
dats a criminal offense naomba uwatake radhi dada na mama zako.
MUOGOPENI MUNGU AMBAYE SIFA YAKE YA KWANZA NI MWEPESI WA KUSAMEHE NEA YA PILI NI MKALI WA KUADIBU
sio KUADIBU ni KUADHIBU!!
 
Kuwa wanafunzi wengi wa chuo ukimhakikishia mlo mmoja kwa siku unamla uroda... Hii iko hivi tufanye mlo ni 3,000. So ni sawa umemla uroda kwa tsh 3,000 Hi ni new version ya uwanja wa fisi.

Nimeashtuka sana kwa kweli.

i could have believed if you had an evidence that U tried to seduce one among them to have sex with then she agreed but since it is just a hear say i don't believe it
 
 
i could have believed if you had an evidence that U tried to seduce one among them to have sex with then she agreed but since it is just a hear say i don't believe it

Wenzako wanateseka. Swala la kubishana hapa hakuna, hilo halina ubishi, tulisikia hizo habari tukaenda kutest tukakubaliwa kirahisirahisi, it is so sad.
Hapa tusifanye sehemu ya ubishi, hili tatizo lipo, tukubali kuwa lipo ili tutafute ufumbuzi, tutafute wa kumuwajibisha, kama ni sisi au serikali tujue moja.
Na baadhi ya wanachuo wa kike wanafanya hivyo sio kwa kupenda ila wanaona ndio njia isiyo na madhara kupata hizo pesa. Hata hao wavulana wanaopiga kelele kama wangezaliwa wanawake ukute wangefanya mara dufu ya hao.
Kusoma ukiwa na ukwasi wa fedha za matumizi ni bora usikie kwa watu na usiombe uwe muhusika.
 
we itakua umesoma chuo nje ya nchi au hujapiyia chuo kabisa, hali ya sasa ya vyuo ni mbaya sana kwa kina dad
Kwani wao hawapewi mikopo kama wanaume au wanapata pungufu? Kama ni kweli, inatisha na kusikitisha!
 
Ukweli mtupu that why kila cku unasikia wakienda kwenye mabaa au kumbi za burudani kujiuza,,,wengi wao ni MALAYA!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 

Mkuu labda sikuelewi, ina maana wapo pia maboflo huko? kama ndiyo basi tumekwisha!!!
 

15 years back ukichaguliwa kuingia chuo ulikuwa unachukuliwa ni mtu wa busara kwa kuhusishwa katika mambo ya msingi yanayotokea mtaani na kwenye jamii kwa ujumla, ni kweli kila kizazi kina enzi yake lakini inasikitisha kwa jinsi thamani ya mwanachuo ilivyoshuka sasa hivi tofauti na miaka michache iliyopita ambayo ukiwa mwanachuo tu kila kijana mtaani anaku-admire na kama ni binti huwezi kumwona mwanaume ambae hana background nzuri kielimu na kimaisha akikusogelea kutaka kukutokea (kwa sasa hivi wamejitahidi kuondoa gap kati ya waliosoma na wasiosoma kwa kujichanganya ila wamezidi mpaka wanafanya mambo mengine ambayo yamepitiliza tofauti na jamii inavyowachukulia)

Ila hawa madogo tusiwalaumu sana kwani jamii ambayo ni sisi ndio tumewajenga hivyo kwa kuwa hawa wote wana walezi na wazazi na mavazi hayo wanayavaa even uraiani. Kipindi kilichopita sio kwamba ufuska haukuwepo, ulikuwepo ila katika kiwango cha waliokuwa wanafanya walikuwa wana staha na ilikuwa si kwa mtu yeyote kwani walikuwa wapo selective.

Kizazi hiki chenyewe kimevuka mipaka kiasi cha kuweka kigezo kimoja tu cha uwezo wa kuwa fedha na si unajua mtu ukiwa SHULELESS ukapata mrembo wa chuo matangazo yake mpaka basi
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…