Nimeshtushwa Lissu kutaka Wamasai waishi mazingira magumu!

hivi muda wa kumjibu huyo JUMA JUMA mnautoa wapi??huyo Uchaguzi wa mwaka 2020 ndie aliyekuwa kinara wa kuanzisha nyuzi humu JF akiwataka vijana wa Kawe wamchague Gwajima na kwamba Gwajima atawapeleka Uingereza na kuanzisha kiwanda cha kutengeneza Boti na Chuo Cha kufundishia vijana kuendesha na kutengeneza Boti na mambo ya uvuvi kwenye Jimbo la Kawe.
Leo bado mwaka mmoja Uchaguzi mpya ufanyike,huyu Tapeli JUMA JUMA atuambie safari ya Uingereza imefikia wapi??Chuo cha kujifunzia kuendesha na kutengeneza Boti kimefikia wapi??
Huyu ni TAPELI kama MATAPELI wengine tu
 
Patamu hapo! Pesa wamechukua kwa mwarabu,masai wamedinda. 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…