Nimeshtushwa na huu Utafiti

Nimeshtushwa na huu Utafiti

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
1. Asilimia kubwa ya binadamu hupenda kujamba wakiwa peke yao na kunusa harufu.

2. Wengi wanapokuwa peke yao room mbele ya kioo hufanya mambo ya kijinga ambayo hutegemei wafanye wanapokuwa na watu wengine.

3. Asilimia kubwa ya wanawake hupenda kushika na kunusa harufu ya sehemu zao za siri wanapokuwa peke yao.

4. Asilimia kubwa ya wanaume hupenda kuchezea korodani zao na pia kunusa harufu yake.

5. Wanawake wengi wakivua chupi hunusa kwanza harufu kisha huweka sehemu husika.

6. Kuna wanaume wanapenda harufu ya boxer zao chafu na soksi zao. Wengi hunusa wakitabasamu kufurahia.
 
1. Asilimia kubwa ya binadamu hupenda kujamba wakiwa peke yao na kunusa harufu.

2. Wengi wanapokuwa peke yao room mbele ya kioo hufanya mambo ya kijinga ambayo hutegemei wafanye wanapokuwa na watu wengine.

3. Asilimia kubwa ya wanawake hupenda kushika na kunusa harufu ya sehemu zao za siri wanapokuwa peke yao.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
1. Asilimia kubwa ya binadamu hupenda kujamba wakiwa peke yao na kunusa harufu.

2. Wengi wanapokuwa peke yao room mbele ya kioo hufanya mambo ya kijinga ambayo hutegemei wafanye wanapokuwa na watu wengine.

3. Asilimia kubwa ya wanawake hupenda kushika na kunusa harufu ya sehemu zao za siri wanapokuwa peke yao.
Mabonge wakitaka kujamba hupanua kalio moja ili kupunguza vibration
 
1. Asilimia kubwa ya binadamu hupenda kujamba wakiwa peke yao na kunusa harufu.

2. Wengi wanapokuwa peke yao room mbele ya kioo hufanya mambo ya kijinga ambayo hutegemei wafanye wanapokuwa na watu wengine.

3. Asilimia kubwa ya wanawake hupenda kushika na kunusa harufu ya sehemu zao za siri wanapokuwa peke yao.
Source please 😄😄😄😄,mimi simp kwenye huo upuuzi
 
Hahahahaaa.... Tafiti nyingine hizi loh.... Nimecheka kweli kweli.....
 
1. Asilimia kubwa ya binadamu hupenda kujamba wakiwa peke yao na kunusa harufu.

2. Wengi wanapokuwa peke yao room mbele ya kioo hufanya mambo ya kijinga ambayo hutegemei wafanye wanapokuwa na watu wengine.

3. Asilimia kubwa ya wanawake hupenda kushika na kunusa harufu ya sehemu zao za siri wanapokuwa peke yao.
Au pia wapenzi huvua hukaa watupu wakiwa mavyumbani huko.
Tena wanafanya vituko vingi tu ambavyo haviwezi fanywa hadharani

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Huwa najitahidi kutokutoa salamu za mikono ila “utaduni “ inabidi utoe tu kishingo upande
Kwa hizi sababu, nina kil sababu kuwa agressive kwenye kupewa mkono😆😆😆
 
Kunusaa sehemu za siri sio wanawake peke yao hata baadhi ya wanaume wanatabia hiyo.
 
Back
Top Bottom