Nimeshtushwa na huu Utafiti

Nimeshtushwa na huu Utafiti

Watu hupendelea kujishika kwapa nakunusa hasa wakiwa hawajaoga
 
Usiombe ujambe hasa ukiwa chumbni au ofisini ukiwa mwenyewe,afu kitu kinanuka ile mbaya Ghafla anaingia mtu,km anakuheshim atajikuna pua tu,
 
Ni jana tu kaja demu kuonana na kaka zake kajamba mbaya ile "prutututu"bila aibu mbele ya uso wangu nikaishia kuondoka 🙄
 
Ni jana tu kaja demu kuonana na kaka zake kajamba mbaya ile "prutututu"bila aibu mbele ya uso wangu nikaishia kuondoka 🙄
Kwa kweli wanawake wengi wanapenda sana kujamba. Yaani wanajisikia raha sana
 
Huwa najitahidi kutokutoa salamu za mikono ila “utaduni “ inabidi utoe tu kishingo upande
Kwa hizi sababu, nina kil sababu kuwa agressive kwenye kupewa mkono[emoji38][emoji38][emoji38]
Kuanzia sasa ntakua simpi mtu mkono kwa kisingizio cha Corona kumbe watu ndo wachafu ivi?!!!!. Loh![emoji15][emoji15][emoji15]
 
Kwa sisi binadamu, harufu mbaya ni ile inayotoka kwa mtu mwingine sio kwako. Wewe harufu yako unakua umeshaizoea kwahiyo ata ukinusa huoni kama ni ishu. Ndio maana unakuta mtu ananuka mdomo ila yeye hajui anaona kawaida tu. The same na kikwapa, miguu, ushuzi, kimba nk hizo harufu zako unakua umeshazizoea.
 
Na wanaume wengi wanapenda kushika mapumb.uh yao na kunusa mikono.

Msitupe mikono yenu hovyo hovyo kutusalimia.
Mi nadhaniaga we ni ME

Ila coment hii umeandika kama we ni waupande wa pili?
Kama nimekosea mkuu samahani ila sentesi yako ya pili imenistua kidogo
 
Back
Top Bottom