Nimeshtushwa na TCRA kukosea jina lao kwenye ripoti yao

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191


Nimeshtusha na ripot ya mwezi wa March 2023, ya TCRA ambayo jina lako limekuwa ni Authory badala ya Authority. Yaani hii ni sawa na mtu kujikosea jina lako mwenyewe. Ni aibu
 
Ukisikia uzembe ndio huu, taasisi kubwa na nyeti kama hii kukosea jina lake ni aibu. Ina maana hawakuhakiki usahihi wa walichokiandika mpaka waachie hiyo ripoti? Ni kosa dogo la kiuandishi lakini ni aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…