Nimeshuhudia kifo cha mende leo nyumbani kwangu

Nilikuwa nimesafiri yapata wiki nne zilizopata. Utaratibu niliojiwekea ni kuhakikisha nafanya usafi wa nguvu katika nyumba yangu kabla sijafiri, ikiwa ni pamoja na kuhakikisha hakuna uchafu wa aina yoyote ile unaobaki ndani, mfano takataka katika dust bin, kuosha vyombo vichafu, usafi wa maliwatoni n.k.

Sasa leo asubuhi baada ya kurudi kutoka safarini nimekutana na mende mkubwa alikonda mpaka kufikia hatua ya kuwa mweusi katika korido, kitu ambacho sijawahi kukutana nacho maishani mwangu.

Mende huko ambaye baada ya dakika kadhaa alianza kurusha miguu kwa taabu sana huku akiwa chali na baada ya dakika mbili hivi alitulia tuli.

Kwa mara ya kwanza nimeshuhudia kifo cha mende live. Sikuwa na cha kufanya zaidi ya kumhurumia mende huyo.

View attachment 595942
Mwege kweli wewe mimi nimekimbikia kwenye pc kumbe utumbo mtupu
 
lool kumbe kifo cha mende ndo kinakuaga ivo naskiaga tu watu wakisema alaaaah leo ndio nimeelewa
 
nimekuja kasi nikajua umekuta watu wanakiduana kumbe ni cockroach death ya mende
 
Nilikuwa nimesafiri yapata wiki nne zilizopata. Utaratibu niliojiwekea ni kuhakikisha nafanya usafi wa nguvu katika nyumba yangu kabla sijafiri, ikiwa ni pamoja na kuhakikisha hakuna uchafu wa aina yoyote ile unaobaki ndani, mfano takataka katika dust bin, kuosha vyombo vichafu, usafi wa maliwatoni n.k.

Sasa leo asubuhi baada ya kurudi kutoka safarini nimekutana na mende mkubwa alikonda mpaka kufikia hatua ya kuwa mweusi katika korido, kitu ambacho sijawahi kukutana nacho maishani mwangu.

Mende huko ambaye baada ya dakika kadhaa alianza kurusha miguu kwa taabu sana huku akiwa chali na baada ya dakika mbili hivi alitulia tuli.

Kwa mara ya kwanza nimeshuhudia kifo cha mende live. Sikuwa na cha kufanya zaidi ya kumhurumia mende huyo.

View attachment 595942
Hahahaha
 
Nakwann mende afe miguu juu ??? Kwann kifo chake kiwe ivo ??? Hata akiwa mzm yeye ukimuweka ivo tu lazima afe,, kwann hii ????
 
Back
Top Bottom