Chief Wingia
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 2,868
- 5,107
Ujinga huu.Itakuwa kweli maana kuna mkoa fulani ndanindani huko kuna chemichemi ya mercury inatiririka kabisa, wazawa wanadai hiyo sehemu inalindwa na joka la mizimu ukichota hata kijiko tu hufiki nayo hata kijijini unamezwa na hilo joka.
Japo kuna mila na ibada maalum ukizifanya unaweza kufanikisha.
Hivi umemuuliza chatgp wa whatsapp?Mara hapaoti miti mara watafukuzwa kwenye mashamba yao
View attachment 3334992
Ukute kuna sehemu limepasuka lile bomba la TAZAMA halafu wewe unasema chemchem.
SawaHivi umemuuliza chatgp wa whatsapp?
Kama ni huyo ni muongo na pia ana masiala sana usimuamini hata kidogo
Mafuta yanayochimbwa huwa ni tope na baada ya hapo husafishwa kupata dizeli au petroli na mengineyo.Nafahamu Kuna Makampuni ya Kizungu labda na Serikali wakiendelea na Utafutaji wa Mafuta huko Baharini...!
Binafsi katika Utafutaji niliwahi kwenda maeneo flani ndani ya Tanzania huko Vijijini, wenyeji wangu wakanipitisha kwenye eneo Moja nikabaki kushangaa, kwanza Majani hayaoti eneo Hilo, ni eneo kubwa, Kuna miti tu michache ambayo ni Mikubwa ila hakuna mimea midogo midogo, kabla yoyote hajanambia chochote, nikajua eneo hili Kuna Mafuta, nikawauliza wenyeji wakasema ndiyo eneo Hilo Kuna Mafuta Japo hawajui kama ni Diesel ama Petrol, wakanambia ni muda mrefu Toka waanze kuona hayo Mafuta.
Kunakua kama Kuna Chemchem na Yale Mafuta yanatoka chini na kusambaa Ardhini, nikatoa simu yangu ili nichukue Video na Picha kidogo, ukawa Mgoro, nikaambiwa Wanakijiji hawaruhusu kuchukua picha, nikawauliza kama Serikali inajua, wakasema wanahisi Serikali haijui, coz kama Wangejua lazima Viongozi wangetembelea eneo Hilo.
Nikawaambia mnajua Serikali Kwa kushirikiana na Makampuni ya Kizungu wanatumia Pesa nyingi kutafuta Mafuta Baharini, na nyinyi eneo lenu Lina Mafuta na mmekaa kimya, Kwa Nini....!?
Wakanambia Ndugu haya ni Mashamba yetu, eneo hili lenye Mafuta ni kubwa na linamilikiwa na Wanakijiji wengi, kama wakienda kutoa taarifa Serikalini, itawafukuza, itawanyang'anya Mashamba, vijiji kadhaa vitahamishwa, na labda wasipate chochote, Ndo maana wanalinda eneo Hilo na haruhusiwi mtu kupiga picha hapo....!
Tanzania hii Kuna Mafuta Ardhini, sio ya kutafuta, ukifika utaona Chemchem Mafuta yakitoka Chini.
Ngoja niangalie ID yake kwanza huenda namjua.Bangi mbaya. Au ndo mafuta yashakulevya?
Mkuu mimi ni mtaalam wa mafuta na gesi. Hiyo ni oil spill. Hayo mafuta yanayotoka chini ya ardhi inaonekana mwamba unaofunika hifadhi ya mafuta yaliyo jihifadhi chini ya ardhi unavuja kwahiyo mafuta yanajaribu kutoka nje kutokana na pressure kubwa iliyopo chini ya ardhi. Oil spill ni indicator moja wapo ya uwepo wa hifadhi ya mafuta katika eneo hilo. Labda ungeniambia hata kwenye Inbox hilo eneo lipo sehemu gani ili niweze kukadiria hayo mazingira kama yanaweza kuchangia uwepo wa mafuta hapo. Lakini pia ili kuthibitisha inatakiwa kuchukua sampuli ya mafuta.Nafahamu Kuna Makampuni ya Kizungu labda na Serikali wakiendelea na Utafutaji wa Mafuta huko Baharini...!
Binafsi katika Utafutaji niliwahi kwenda maeneo flani ndani ya Tanzania huko Vijijini, wenyeji wangu wakanipitisha kwenye eneo Moja nikabaki kushangaa, kwanza Majani hayaoti eneo Hilo, ni eneo kubwa, Kuna miti tu michache ambayo ni Mikubwa ila hakuna mimea midogo midogo, kabla yoyote hajanambia chochote, nikajua eneo hili Kuna Mafuta, nikawauliza wenyeji wakasema ndiyo eneo Hilo Kuna Mafuta Japo hawajui kama ni Diesel ama Petrol, wakanambia ni muda mrefu Toka waanze kuona hayo Mafuta.
Kunakua kama Kuna Chemchem na Yale Mafuta yanatoka chini na kusambaa Ardhini, nikatoa simu yangu ili nichukue Video na Picha kidogo, ukawa Mgoro, nikaambiwa Wanakijiji hawaruhusu kuchukua picha, nikawauliza kama Serikali inajua, wakasema wanahisi Serikali haijui, coz kama Wangejua lazima Viongozi wangetembelea eneo Hilo.
Nikawaambia mnajua Serikali Kwa kushirikiana na Makampuni ya Kizungu wanatumia Pesa nyingi kutafuta Mafuta Baharini, na nyinyi eneo lenu Lina Mafuta na mmekaa kimya, Kwa Nini....!?
Wakanambia Ndugu haya ni Mashamba yetu, eneo hili lenye Mafuta ni kubwa na linamilikiwa na Wanakijiji wengi, kama wakienda kutoa taarifa Serikalini, itawafukuza, itawanyang'anya Mashamba, vijiji kadhaa vitahamishwa, na labda wasipate chochote, Ndo maana wanalinda eneo Hilo na haruhusiwi mtu kupiga picha hapo....!
Tanzania hii Kuna Mafuta Ardhini, sio ya kutafuta, ukifika utaona Chemchem Mafuta yakitoka Chini.
Nafahamu Kuna Makampuni ya Kizungu labda na Serikali wakiendelea na Utafutaji wa Mafuta huko Baharini...!

We jamaa katika watu wamewaza sana ww ni mmoja wapo toka uzi umeanza..Ukute kuna sehemu limepasuka lile bomba la TAZAMA halafu wewe unasema chemchem.