Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Na mimi pia nimesoma ishu hii hii uwezi sema ni mafuta wakati kutenganisha maji ya bahari na chumvi ni kipengere
Wambie ni connection haiji for free,nyie kijani mnauza kila kitu makaaa yanaondoka na uranium na bado mnakopa na Kibibi chenu uchwara cha kizmkazi,hivi mbogamboga mnaleta Wasira na huyu bibi ili tuibiwe nini zaidi.Mbona hujataja mkoa na wilaya.
Maana hata usipotaja, huwezi kuchimba wewe.
Ni mali ya umma.
Umesema mimea midog haioti, wanakijiji wanakwambia tena haya ni mshamba yetu wanalima nn?Nafahamu Kuna Makampuni ya Kizungu labda na Serikali wakiendelea na Utafutaji wa Mafuta huko Baharini...!
Binafsi katika Utafutaji niliwahi kwenda maeneo flani ndani ya Tanzania huko Vijijini, wenyeji wangu wakanipitisha kwenye eneo Moja nikabaki kushangaa, kwanza Majani hayaoti eneo Hilo, ni eneo kubwa, Kuna miti tu michache ambayo ni Mikubwa ila hakuna mimea midogo midogo, kabla yoyote hajanambia chochote, nikajua eneo hili Kuna Mafuta, nikawauliza wenyeji wakasema ndiyo eneo Hilo Kuna Mafuta Japo hawajui kama ni Diesel ama Petrol, wakanambia ni muda mrefu Toka waanze kuona hayo Mafuta.
Kunakua kama Kuna Chemchem na Yale Mafuta yanatoka chini na kusambaa Ardhini, nikatoa simu yangu ili nichukue Video na Picha kidogo, ukawa Mgoro, nikaambiwa Wanakijiji hawaruhusu kuchukua picha, nikawauliza kama Serikali inajua, wakasema wanahisi Serikali haijui, coz kama Wangejua lazima Viongozi wangetembelea eneo Hilo.
Nikawaambia mnajua Serikali Kwa kushirikiana na Makampuni ya Kizungu wanatumia Pesa nyingi kutafuta Mafuta Baharini, na nyinyi eneo lenu Lina Mafuta na mmekaa kimya, Kwa Nini....!?
Wakanambia Ndugu haya ni Mashamba yetu, eneo hili lenye Mafuta ni kubwa na linamilikiwa na Wanakijiji wengi, kama wakienda kutoa taarifa Serikalini, itawafukuza, itawanyang'anya Mashamba, vijiji kadhaa vitahamishwa, na labda wasipate chochote, Ndo maana wanalinda eneo Hilo na haruhusiwi mtu kupiga picha hapo....!
Tanzania hii Kuna Mafuta Ardhini, sio ya kutafuta, ukifika utaona Chemchem Mafuta yakitoka Chini.
Tulia mpaka nchi itakaposhikwa na upinzani, labda wao watafanya jambo kwa manufaa ya watanzania wote na kwa taifa kiujumla na si hawa walioko sasa warafi na wazindiki tangia alipoingia BWM.Sifa ya Mwanaume ni Koo sasa ukibadilisha maana hii tutakuita wakike, kama kweli wewe ni Mwanaume utatumia Koo lako vizuri kupiga kimya kwasababu hata ukiwambia wahusika watafaidi wao na vizazi vyao na Wanakijiji wale watanyanyasika maisha yao yote, mangapi wanafaidi wakubwa na vizazi vyao lakini wewe haupo kwenye hizo system?? Jiulize! Powder
Did you prove it by yourself au nawe umesimuliwa tu?Itakuwa kweli maana kuna mkoa fulani ndanindani huko kuna chemichemi ya mercury inatiririka kabisa, wazawa wanadai hiyo sehemu inalindwa na joka la mizimu ukichota hata kijiko tu hufiki nayo hata kijijini unamezwa na hilo joka.
Japo kuna mila na ibada maalum ukizifanya unaweza kufanikisha.
Vijijini maeneo ambayo yanayotumika na yasiyo tumika kwa kilimo yote huita mashamba. Tembea mkuuUmesema mimea midog haioti, wanakijiji wanakwambia tena haya ni mshamba yetu wanalima nn?
Eti sijui ni petroli au diesel. ZIPO?Nafahamu Kuna Makampuni ya Kizungu labda na Serikali wakiendelea na Utafutaji wa Mafuta huko Baharini...!
Binafsi katika Utafutaji niliwahi kwenda maeneo flani ndani ya Tanzania huko Vijijini, wenyeji wangu wakanipitisha kwenye eneo Moja nikabaki kushangaa, kwanza Majani hayaoti eneo Hilo, ni eneo kubwa, Kuna miti tu michache ambayo ni Mikubwa ila hakuna mimea midogo midogo, kabla yoyote hajanambia chochote, nikajua eneo hili Kuna Mafuta, nikawauliza wenyeji wakasema ndiyo eneo Hilo Kuna Mafuta Japo hawajui kama ni Diesel ama Petrol, wakanambia ni muda mrefu Toka waanze kuona hayo Mafuta.
Kunakua kama Kuna Chemchem na Yale Mafuta yanatoka chini na kusambaa Ardhini, nikatoa simu yangu ili nichukue Video na Picha kidogo, ukawa Mgoro, nikaambiwa Wanakijiji hawaruhusu kuchukua picha, nikawauliza kama Serikali inajua, wakasema wanahisi Serikali haijui, coz kama Wangejua lazima Viongozi wangetembelea eneo Hilo.
Nikawaambia mnajua Serikali Kwa kushirikiana na Makampuni ya Kizungu wanatumia Pesa nyingi kutafuta Mafuta Baharini, na nyinyi eneo lenu Lina Mafuta na mmekaa kimya, Kwa Nini....!?
Wakanambia Ndugu haya ni Mashamba yetu, eneo hili lenye Mafuta ni kubwa na linamilikiwa na Wanakijiji wengi, kama wakienda kutoa taarifa Serikalini, itawafukuza, itawanyang'anya Mashamba, vijiji kadhaa vitahamishwa, na labda wasipate chochote, Ndo maana wanalinda eneo Hilo na haruhusiwi mtu kupiga picha hapo....!
Tanzania hii Kuna Mafuta Ardhini, sio ya kutafuta, ukifika utaona Chemchem Mafuta yakitoka Chini.
Wewe jamaa ni la hovyoNafahamu Kuna Makampuni ya Kizungu labda na Serikali wakiendelea na Utafutaji wa Mafuta huko Baharini...!

Wataalam wanasema bangi na kuiwasha kwa mishumaaya kanisa inakua hatariBangi mbaya. Au ndo mafuta yashakulevya?
Raisi wao nyumba hana je apate uongozi akuletee maendeleo wwTulia mpaka nchi itakaposhikwa na upinzani, labda wao watafanya jambo kwa manufaa ya watanzania wote na kwa taifa kiujumla na si hawa walioko sasa warafi na wazindiki tangia alipoingia BWM.
Rais gani huyo wa upinzani unayemzungumzia mkuu?Raisi wao nyumba hana je apate uongozi akuletee maendeleo ww
EwaaTulia mpaka nchi itakaposhikwa na upinzani, labda wao watafanya jambo kwa manufaa ya watanzania wote na kwa taifa kiujumla na si hawa walioko sasa warafi na wazindiki tangia alipoingia BWM.
TRAORE ana utajiri gani kenge wewe?Raisi wao nyumba hana je apate uongozi akuletee maendeleo ww
Mkuranga napo ipo! Na serikali yajuwa!Nafahamu Kuna Makampuni ya Kizungu labda na Serikali wakiendelea na Utafutaji wa Mafuta huko Baharini...!
Binafsi katika Utafutaji niliwahi kwenda maeneo flani ndani ya Tanzania huko Vijijini, wenyeji wangu wakanipitisha kwenye eneo Moja nikabaki kushangaa, kwanza Majani hayaoti eneo Hilo, ni eneo kubwa, Kuna miti tu michache ambayo ni Mikubwa ila hakuna mimea midogo midogo, kabla yoyote hajanambia chochote, nikajua eneo hili Kuna Mafuta, nikawauliza wenyeji wakasema ndiyo eneo Hilo Kuna Mafuta Japo hawajui kama ni Diesel ama Petrol, wakanambia ni muda mrefu Toka waanze kuona hayo Mafuta.
Kunakua kama Kuna Chemchem na Yale Mafuta yanatoka chini na kusambaa Ardhini, nikatoa simu yangu ili nichukue Video na Picha kidogo, ukawa Mgoro, nikaambiwa Wanakijiji hawaruhusu kuchukua picha, nikawauliza kama Serikali inajua, wakasema wanahisi Serikali haijui, coz kama Wangejua lazima Viongozi wangetembelea eneo Hilo.
Nikawaambia mnajua Serikali Kwa kushirikiana na Makampuni ya Kizungu wanatumia Pesa nyingi kutafuta Mafuta Baharini, na nyinyi eneo lenu Lina Mafuta na mmekaa kimya, Kwa Nini....!?
Wakanambia Ndugu haya ni Mashamba yetu, eneo hili lenye Mafuta ni kubwa na linamilikiwa na Wanakijiji wengi, kama wakienda kutoa taarifa Serikalini, itawafukuza, itawanyang'anya Mashamba, vijiji kadhaa vitahamishwa, na labda wasipate chochote, Ndo maana wanalinda eneo Hilo na haruhusiwi mtu kupiga picha hapo....!
Tanzania hii Kuna Mafuta Ardhini, sio ya kutafuta, ukifika utaona Chemchem Mafuta yakitoka Chini.
Nikurahisishie Kazi Hilo eneo lipo Mkoa WA Ruvuma,Kijiji sikitaji Kwa sababu Mimi mwenyewe Hilo eneo nalijua niliwahi kwenda Hicho Kijiji mwaka 2008📌Mbona hujataja mkoa na wilaya.