Nimeshuhudia Mafuta yakitoka chini Ardhini hapa Tanzania

Na mimi pia nimesoma ishu hii hii uwezi sema ni mafuta wakati kutenganisha maji ya bahari na chumvi ni kipengere
 
Mbona hujataja mkoa na wilaya.

Maana hata usipotaja, huwezi kuchimba wewe.

Ni mali ya umma.
Wambie ni connection haiji for free,nyie kijani mnauza kila kitu makaaa yanaondoka na uranium na bado mnakopa na Kibibi chenu uchwara cha kizmkazi,hivi mbogamboga mnaleta Wasira na huyu bibi ili tuibiwe nini zaidi.
 
Umesema mimea midog haioti, wanakijiji wanakwambia tena haya ni mshamba yetu wanalima nn?
 
Tulia mpaka nchi itakaposhikwa na upinzani, labda wao watafanya jambo kwa manufaa ya watanzania wote na kwa taifa kiujumla na si hawa walioko sasa warafi na wazindiki tangia alipoingia BWM.
 
Did you prove it by yourself au nawe umesimuliwa tu?
 
Eti sijui ni petroli au diesel. ZIPO?
 
Wewe jamaa ni la hovyo
 
Tulia mpaka nchi itakaposhikwa na upinzani, labda wao watafanya jambo kwa manufaa ya watanzania wote na kwa taifa kiujumla na si hawa walioko sasa warafi na wazindiki tangia alipoingia BWM.
Raisi wao nyumba hana je apate uongozi akuletee maendeleo ww
 
Mkuranga napo ipo! Na serikali yajuwa!
Tanganyika tajiri sana aisee!
 
Mtwara kulikuwa na kampuni nyingi za kigeni kipindi Cha kikwete wanafanya utafiti wa mafuta sijui uliishia wapi....
Japo wananchi tulikuwa tunaona meli ikiongozwa na helicopter mara kwa mara maeneo ya msimbati ikidaiwa ndio yanachukuliwa hivyoo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…