Nimeshuhudia masheikh wengi wakisema sasaivi haki haitakiwi ila amani ndio ya msingi

Nimeshuhudia masheikh wengi wakisema sasaivi haki haitakiwi ila amani ndio ya msingi

Hakuna sehem wana njaa kali na wanafiki kama hao jamaa! Yaan wao ni mwendo wa kutembea na upepo.
 
Tatizo la masheikh ni njaa ndio maana yanaongea pointless hawana mchango wowote kwa taifa
 
Achana na Hao ma sheikh Malaya wa bakwata sisi wenyewe waislamu hatuwatambui na msituhusishe nao
 
Nimeshuhudia masheikh wengi wakisema sasaivi haki haitakiwi ila amani ndio ya msingi. Lakini quraan inasema uislam ndio dini ya haki. Je uislam unaongozwa na matakwa binafsi ya mtu au quraan?
Sasa, hv ni wakati wa waislam kula nchi, na, kubagaza wakristo kadri inavyowezekana,
Sasa hv wazenj(wengi ni islam) wanaiumiza Tanganyika, wanaiba, balaa, kelele zikiwa nyingi za, wa Tanganyika, ccm itakuja na kadi ya udini,kama wanaoua ni wazenj waislam, wanaouliwa, ni wa Tanganyika wakristo, m Tanganyika muislam atakaa upande wa, zenj kwa waislam wenzie!
Wakati samia anauza, bandari ya Dar kwa, Arabs, wa Tanganyika waislam waliona poa tu, si kapewa mwarab! (Waislam wana waabudu wa Arab, kama, walivyo wakristo kwa, jews/Israel).
 
Masheikh si watu wa maana sana, hawana elimu hupelekwa na upepo tu. Mambo muhimu ya nchi wao huweka udini mbele
 
Back
Top Bottom