auferet dominus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 1,804
- 1,292
Sijakataa timu za spain zipo vzuri ila ni chache ni sawa na ufaransa wana timu nzuri ila chache yaani psg monaco lyon marseille lile basiiii zingine vibonde ila uingereza timu zote zipo hot kabisa
Nachosema ni nini..... Spain haina ligi competitive ndio maana kila msimu mshindi anatabirika either madrid au barca tofauti kabisa na england ambayo hujui kma chelsea au man u n.k watabeba ndoo
So barca inabebwa na ubovu wa ligi ndio maana nkasema kipimo chenu ni champions league..... Tuwe wapole tu ila nshasema hamvuki robo maana sio kwa ukuta wenu huo kma jana bila pique mlikuwa mshalala
Imba kwa sauti kubwa mpaka nisikie, sema baaaaaaaaaaaaaaaarrrrrrrrrrrrrrrrrrcccccccccccaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
haya moja mbili tatuuuuuu