Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madrid watasumbua ndani ya La liga ila sio Uefa.Shakira jana alikua anamuwaza mpenzi wake tu. Hakuna chochpte alichofanya. Kwenye ndio wakapotezwa kabisa, bora ya Messi kidogo alijitahidi.
Binafsi Madrid pamoja na Zidane ninawaona wakisumbua zaidi ya misimu minne ijayo kama Zidane hataingiliwa katika mipango yake.
Namuona Asensio akiingia katika ushindani wa Ballon d'Or tena bila ya kupepesa macho. Ni wazi wazi.
Xavi na Iniesta hawakuwa wanadamu wa kawaida. Kinachoniuma ni jinsi FIFa na wazandiki wengine wa soka walivyobana fursa zao za kutwaa Ballon D'orR.I.P Barca kiboko ya timu zote ulaya..
umenikumbusha XAVI na INIESTA wakiwa kwenye ubora wao.. hadi nikafikiri haya majamaa ni maroboti sio watu.. ilikuwa noma kipindi kwakweli
Mkuu bado sijaona UEFA timu itakayo mletea upinzani. Wana wachezaji ambao wamekaa kwenye timu kwa muda mrefu na kocha pia falsafa zake zinaeleweka. si Bayern, si Juve wala PSG. Bado sana haoMadrid watasumbua ndani ya La liga ila sio Uefa.
Huyo jamaa Andre Gomez ni mzuri sana licha ya kuwa umri wake ni mdogo ana miaka 24 tu walimchukua kutoka benfica naona kocha Ernesto Valverde anajaribu kumpa uzoefu ili aweze kuwa na uzoefu na nina uhakika atakuwa katika kiwango bora baadae.Kizazi cha sasa cha Barcelona kimefikia ukingoni, ni wakati wa Barcelona kuanzisha kizazi kingine.
Jana nilishuhudia Barcelona isiyokua na meno, jana nilimuona Messi akicheza kama namba 8,10,9 alifanya hivi akijaribu kufukia mashimo ya wengine lakini alishindwa.
Kuna wachezaji wengi hawana hadhi ya kuichezea Barcelona, wa kwanza ni Andre Gomes. Uyu jamaa sijui walimuokota wapi?
kwa lipi mkuu? ndio kwanza ameanza kazi....Kocha wa barca hatamaliza msimu kabla hajatimuliwa
gomez ni mzuri kiac chake kinachoicost barcelona kwa sasa haina winga wa kushoto na wakulia hvyo wanakosa firepower yakutosha kule mbele..Huyo
Huyo jamaa Andre Gomez ni mzuri sana licha ya kuwa umri wake ni mdogo ana miaka 24 tu walimchukua kutoka benfica naona kocha Ernesto Valverde anajaribu kumpa uzoefu ili aweze kuwa na uzoefu na nina uhakika atakuwa katika kiwango bora baadae.
Mchezaji kaliba ya Messi anatokea mara moja tu kwenye kizazi.. Barcelona itawachukua karne kumpata Messi mwingine.. It's over mkuuMie nakuunga mkono kwenye hili ila sio mwisho wao nadhani watajipanga na kuanza upya kama kipindi cha Rijkaard timu ilifanya vibaya ila baadae walirudi na kufanya vizuri kinachowasumbua kikubwa Barcelona ni ukongwe wa wachezaji wao na ndio naona huyu kocha mpya Ernesto Valverde amekuja na falsafa ya kuwakomaza vijana kama kina Sergi Roberto,Dennis Suarez maana nadhani mtu kama Javier Mascherano umri unamtupa mkono sasa anahitaji mbadala wake Andre Iniesta nae anaelekea huko kwa hiyo itachukua muda kidogo kuwapika hawa vijana ila nina imani chama litarudi tena na kufanya vizuri tujifunze kutokata tamaa ili tufanikiwe.
Haya naweka maktaba usemi wako huo halafu nitarudi kama Mungu akituweka hai.Mchezaji kaliba ya Messi anatokea mara moja tu kwenye kizazi.. Barcelona itawachukua karne kumpata Messi mwingine.. It's over mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
R.I.P Barca kiboko ya timu zote ulaya..
umenikumbusha XAVI na INIESTA wakiwa kwenye ubora wao.. hadi nikafikiri haya majamaa ni maroboti sio watu.. ilikuwa noma kipindi kwakweli
ila kwa chelsea walikua wanakwama,wakabebwa hadi drogba akata kumuua refa..wakamfungiaSio kwa Barcelona hata ikibadirisha vipi mwendo wake ni balaa ukitaka details waulize ligi ya uingereza hasa man u.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimuondoa Suarez na messi Barcelona,hata Aston villa anamfunga barcaKizazi cha sasa cha Barcelona kimefikia ukingoni, ni wakati wa Barcelona kuanzisha kizazi kingine.
Jana nilishuhudia Barcelona isiyokua na meno, jana nilimuona Messi akicheza kama namba 8,10,9 alifanya hivi akijaribu kufukia mashimo ya wengine lakini alishindwa.
Kuna wachezaji wengi hawana hadhi ya kuichezea Barcelona, wa kwanza ni Andre Gomes. Uyu jamaa sijui walimuokota wapi?
Umewasahau wababe wengine wa Barca Liverpool. Barca hajawahi toka salama.ila kwa chelsea walikua wanakwama,wakabebwa hadi drogba akata kumuua refa..wakamfungia