Nimeshuhudia mwisho wa Barcelona

Madrid watasumbua ndani ya La liga ila sio Uefa.
 
R.I.P Barca kiboko ya timu zote ulaya..
umenikumbusha XAVI na INIESTA wakiwa kwenye ubora wao.. hadi nikafikiri haya majamaa ni maroboti sio watu.. ilikuwa noma kipindi kwakweli
Xavi na Iniesta hawakuwa wanadamu wa kawaida. Kinachoniuma ni jinsi FIFa na wazandiki wengine wa soka walivyobana fursa zao za kutwaa Ballon D'or
 
Huyo
Huyo jamaa Andre Gomez ni mzuri sana licha ya kuwa umri wake ni mdogo ana miaka 24 tu walimchukua kutoka benfica naona kocha Ernesto Valverde anajaribu kumpa uzoefu ili aweze kuwa na uzoefu na nina uhakika atakuwa katika kiwango bora baadae.
 
Wakati mkiomboleza kuanza kuchujuka kwa Barcelona, ni vema tukautambua rasmi ubabe wa Real Madrid unaongezeka kila siku. Hii timu imekuwa tamu jamani asikwambie mtu. Kiungo cha Madrid chini ya Luca Modrick, Tony Kroos na Casemiro na udambwiudambwi wa Isco umekuwa tishio kubwa mno katika bara zima la Ulaya.

Unapomsifia baba yako kuwa na mbio, usiache kumsifia na anayemkimbiza
 
Huyo

Huyo jamaa Andre Gomez ni mzuri sana licha ya kuwa umri wake ni mdogo ana miaka 24 tu walimchukua kutoka benfica naona kocha Ernesto Valverde anajaribu kumpa uzoefu ili aweze kuwa na uzoefu na nina uhakika atakuwa katika kiwango bora baadae.
gomez ni mzuri kiac chake kinachoicost barcelona kwa sasa haina winga wa kushoto na wakulia hvyo wanakosa firepower yakutosha kule mbele..
 
waache washabiki wa madrid wafurahi...sisi bado tuna shock ya neymar na kocha wetu ni mpya so bado hatujakaa sawa....tukileta dembele na coutinho pale mambo yatabadilikaa kabisa tutaendelea kuwapa madrid bao tano,nne,sita kama vile tunavyofanyaga
 
Mchezaji kaliba ya Messi anatokea mara moja tu kwenye kizazi.. Barcelona itawachukua karne kumpata Messi mwingine.. It's over mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
R.I.P Barca kiboko ya timu zote ulaya..
umenikumbusha XAVI na INIESTA wakiwa kwenye ubora wao.. hadi nikafikiri haya majamaa ni maroboti sio watu.. ilikuwa noma kipindi kwakweli
Sio kwa Barcelona hata ikibadirisha vipi mwendo wake ni balaa ukitaka details waulize ligi ya uingereza hasa man u.

Sent using Jamii Forums mobile app
ila kwa chelsea walikua wanakwama,wakabebwa hadi drogba akata kumuua refa..wakamfungia
 
Kwa hali ilivyokuwa jana kama Ronaldo na Bale angekuwepo tungeshuhudia kichapo kibaya katika historia ya Barca.
 
Ukimuondoa Suarez na messi Barcelona,hata Aston villa anamfunga barca

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…