Unaposema defence mbovu hutakiwi kucompare na loser mwingine ila kweli defence yenu nyepesi sana hasa mkikutana na free scoring team kma PSG au Bayern mtakula nyingi..... Alaves tu waliwatoa jasho na kma sio uoga uoga wa wale forwards mngekula hata saba subirini tu champions league knock out stages mtaelewa nachosema
Barcelona imecheza mechi 21 Laliga.
Imeconcede magoli kumi pekee huku ikifanikiwa kupata cleansheet 13 katika hizi mechi 21.
Unaposema defense mbovu unamaanisha nini mkuu?
Maana hatupimi majina ya wachezaji, tunaangalia namba tu za magoli waliyoruhusu!
Kumbuka Barcelona ndio team pekee ambayo iko unbeaten in the European top five leagues (league games).
Huwezi kua unbeaten kama una defense mbovu.
Inawezekana tu ukawa unaichukia Barcelona, ila namba hazidanganyi mkuu!
Hao Bayern unaowasema wameshaburuzwa na vibonde wa bundesliga mara kadhaa.
Hawa PSG usije kushangaa wakipigwa na Madrid. Hawa watani wangu wako vibaya ila usishangae wakimnyoosha huyo PSG!
Form is temporary, class is permanent!
Nikirudi kwenye hoja yako, team tishio ulaya kwa sasa zipo tatu, Man city, PSG na Barcelona. Ila bado hata hawa man city na PSG hawamuwezi barca.
Sioni wa kumzuia Barcelona kushinda treble!