sikongefdc
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,612
- 2,156
Mambo ya ubovu wa real na atletico hayatuhusu, kimsingi hauna kitu unajitetea fanya kutulia tu dawa iingie.Ila ukweli usemwe msimu huu sababu tu real na atletico ni wabovu ila msingechukua ligi..... Competition ipo champions league hamvuki robo fainali kwa defence hii ya samedo na sergi roberto cjui umtiti alafu mnaota champions league..... U gotta be kiddin me 😀😀😀
Sawa tusubiri ntakuja kufufua hii comment yako aprilMambo ya ubovu wa real na atletico hayatuhusu, kimsingi hauna kitu unajitetea fanya kutulia tu dawa iingie.
Ahsante sana mkuu, lakini baka hainaga beki nzuri miaka yote, wao wanaficha mpir tu, kwisha.... Sasa kama unaweza kushambulia bila mpira tc ok..Msimu huu mna defence mbovu sana huo ni ukweli hivyo champions league msahau kabisa kwanza mkikutana na free scoring team kma PSG hii ya sasa..... Mnaweza kuliwa hata 8 naomba utunze hii comment tutakuja kukumbushana come april
Kwa kikos kipi cha chelsea ndg,.. [emoji1] [emoji1]Ila ukweli usemwe msimu huu sababu tu real na atletico ni wabovu ila msingechukua ligi..... Competition ipo champions league hamvuki robo fainali kwa defence hii ya samedo na sergi roberto cjui umtiti alafu mnaota champions league..... U gotta be kiddin me 😀😀😀
Unasema tuna defence mbovu tumeruhusu magoli mangapi compare na timu yako!?Msimu huu mna defence mbovu sana huo ni ukweli hivyo champions league msahau kabisa kwanza mkikutana na free scoring team kma PSG hii ya sasa..... Mnaweza kuliwa hata 8 naomba utunze hii comment tutakuja kukumbushana come april
Unaposema defence mbovu hutakiwi kucompare na loser mwingine ila kweli defence yenu nyepesi sana hasa mkikutana na free scoring team kma PSG au Bayern mtakula nyingi..... Alaves tu waliwatoa jasho na kma sio uoga uoga wa wale forwards mngekula hata saba subirini tu champions league knock out stages mtaelewa nachosemaUnasema tuna defence mbovu tumeruhusu magoli mangapi compare na timu yako!?
Hicho hicho kibovu mtakuja niambia na hta mkivuka muombe msikutane na majabali PSG au bayern mtakula 7 tenaKwa kikos kipi cha chelsea ndg,.. [emoji1] [emoji1]
Miaka yote?? Unakumbuka ukuta wa puyol na rafael Marquez?? Alafu pembeni kuna kina beletti na giovanni van bronckhorst?? Hatari sana mlikuwaAhsante sana mkuu, lakini baka hainaga beki nzuri miaka yote, wao wanaficha mpir tu, kwisha.... Sasa kama unaweza kushambulia bila mpira tc ok..
Labda la liga ila UCL mtasubiri sanaTimu zote msimu huu ni mbovu, lakini mbovu yenye unafuu ni barcelona, kwaio ndo timu bora msimu huu...
Barca hajfungwa na madrd kombe la mfalme bhana na hawajacheza wote ktk mashindano hayoHivi aliyeandika bado yupo na anaendelea na msimamo wake, eti kisa tulifungwa mechi mbili na madridiot za kombe la mfalme basi ndo ikawa conclusion yake
Barcelona imecheza mechi 21 Laliga.Unaposema defence mbovu hutakiwi kucompare na loser mwingine ila kweli defence yenu nyepesi sana hasa mkikutana na free scoring team kma PSG au Bayern mtakula nyingi..... Alaves tu waliwatoa jasho na kma sio uoga uoga wa wale forwards mngekula hata saba subirini tu champions league knock out stages mtaelewa nachosema
Asa la liga nayo kuna timu??? Ni hivi mna defence mbovu sema attacking ya timu za la liga mbovu kabisa ukiangalia mechi za la liga nyingi defence yenu inaburuzwa sana sema conversion rate ni ndogo sana ila ingekuwa champions league mngetundikwa mengi tuBarcelona imecheza mechi 21 Laliga.
Imeconcede magoli kumi pekee huku ikifanikiwa kupata cleansheet 13 katika hizi mechi 21.
Unaposema defense mbovu unamaanisha nini mkuu?
Maana hatupimi majina ya wachezaji, tunaangalia namba tu za magoli waliyoruhusu!
Kumbuka Barcelona ndio team pekee ambayo iko unbeaten in the European top five leagues (league games).
Huwezi kua unbeaten kama una defense mbovu.
Inawezekana tu ukawa unaichukia Barcelona, ila namba hazidanganyi mkuu!
Hao Bayern unaowasema wameshaburuzwa na vibonde wa bundesliga mara kadhaa.
Hawa PSG usije kushangaa wakipigwa na Madrid. Hawa watani wangu wako vibaya ila usishangae wakimnyoosha huyo PSG!
Form is temporary, class is permanent!
Nikirudi kwenye hoja yako, team tishio ulaya kwa sasa zipo tatu, Man city, PSG na Barcelona. Ila bado hata hawa man city na PSG hawamuwezi barca.
Sioni wa kumzuia Barcelona kushinda treble!
Mbona UEFA haijatundikwa na imecheza na Juve?Asa la liga nayo kuna timu??? Ni hivi mna defence mbovu sema attacking ya timu za la liga mbovu kabisa ukiangalia mechi za la liga nyingi defence yenu inaburuzwa sana sema conversion rate ni ndogo sana ila ingekuwa champions league mngetundikwa mengi tu
Kama clean sheet ndio kila kitu mbona atletico madrid kawazidi??
Sio makalio mkuu kuna timu nzuri ila chache..... Yaani probability ya alaves au leganes kumfunga barcelona ni 1/10..... Ila England probability ya timu ndogo kma swansea kumfunga man city ya chelsea ni 4/10 hivyo huwezi sema la liga ni bora ilihali timu zinazowika ni hizo hizo 2 tu na atletico kwa mbali.... Ukija europa league ni bilbao villareal Sociedad hapo basi ila hivyo vingine kuanzia eibar hadi malaga hakuna kitu kabisaMbona UEFA haijatundikwa na imecheza na Juve?
Ivi unaakili timamu kweli kusema Laliga hakuna team mbona UEFA kila mwaka toka 2014 linaenda Spain?
Bado na EUROPA nako wanatamba?
Umetumia makalio kufikiri au?
Mbona legans kamtwanga madrid mara 2?Sio makalio mkuu kuna timu nzuri ila chache..... Yaani probability ya alaves au leganes kumfunga barcelona ni 1/10..... Ila England probability ya timu ndogo kma swansea kumfunga man city ya chelsea ni 4/10 hivyo huwezi sema la liga ni bora ilihali timu zinazowika ni hizo hizo 2 tu na atletico kwa mbali.... Ukija europa league ni bilbao villareal Sociedad hapo basi ila hivyo vingine kuanzia eibar hadi malaga hakuna kitu kabisa
Hivyo kipimo cha barca ni champions league tu..... Subiri nitakuja kufufua hii post mkikutana na bayern ama PSG siku defence yenu ikidhihirishwa ilivyo dhaifu
Unawaongela PSG tuliowapiga sita last season? Come on man, hauko serious!Sio makalio mkuu kuna timu nzuri ila chache..... Yaani probability ya alaves au leganes kumfunga barcelona ni 1/10..... Ila England probability ya timu ndogo kma swansea kumfunga man city ya chelsea ni 4/10 hivyo huwezi sema la liga ni bora ilihali timu zinazowika ni hizo hizo 2 tu na atletico kwa mbali.... Ukija europa league ni bilbao villareal Sociedad hapo basi ila hivyo vingine kuanzia eibar hadi malaga hakuna kitu kabisa
Hivyo kipimo cha barca ni champions league tu..... Subiri nitakuja kufufua hii post mkikutana na bayern ama PSG siku defence yenu ikidhihirishwa ilivyo dhaifu
PSG hii ni tofauti na ya msimu uliopita... But still kuwafunga goli 5 sio kitu kidogo ili prove defence yenu iko vulnerable ndio sembuse sahvi wana neymar na mbappe-lottin??Unawaongela PSG tuliowapiga sita last season? Come on man, hauko serious!
Hapo england wote ni mediocre teams, ndio maana unaona kuna competition.
Barca au Madrid au Bayern wakihamia hapo EPL mwendo ni ule ule, watoto wa EPL wataburuzwa tu!
Barcelona ni kipimo cha ubora!