Nimeshuhudia mwisho wa Barcelona

Kuna dogo aliniuliza eti uncle kwani arsenal ni movie?

Nikamuuliza kwanini, akasema arsenal fans are always waiting for the next season!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

!

DahπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Auba tupia turudishe heshima...... Kwa spidi hii ya 5G jiandaeni na ujio mpya wa the gunners
 
mwenyewe unaitwa mchochezi.
 
Duh, umeona nini? Mbona ndio kwanza Barca inaanza upya!!
 
Mna timu chache nzuri ila nyingi MBOVU ndio maana nmekuuliza nitajie timu iliyoshinda la liga nje ya madrid na barcelona???
Hebu mjib huyu basi kwanza
Katika kipindi cha miaka kumi, team za Spain zimeshinda UEFA Mara sita (mara NNE Ikiwa back to back), ujerumani mara moja, Italy mara moja na England mara mbili!

Wala hatuhitaji ramli kujua ligi bora ni ipi. Numbers don't lie!
 
Mkuu namuulza huyo nanga hapo kwny ndoo ya uefa timu za ligi gan zmeinyanyua mara nyingi
Sijakataa timu za spain zipo vzuri ila ni chache ni sawa na ufaransa wana timu nzuri ila chache yaani psg monaco lyon marseille lile basiiii zingine vibonde ila uingereza timu zote zipo hot kabisa

Nachosema ni nini..... Spain haina ligi competitive ndio maana kila msimu mshindi anatabirika either madrid au barca tofauti kabisa na england ambayo hujui kma chelsea au man u n.k watabeba ndoo

So barca inabebwa na ubovu wa ligi ndio maana nkasema kipimo chenu ni champions league..... Tuwe wapole tu ila nshasema hamvuki robo maana sio kwa ukuta wenu huo kma jana bila pique mlikuwa mshalala
 
Atletico ipo madrid so yale yale tu
Kwa hiyo unamaanisha hata chelsea, arsenal na Tottenham vikombe vyao vinahesabiwa pamoja kwakua wote wanatokea London?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Umepanic mkuu, we are the biggest fish in the football ocean!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwani Pique ni mchezaji wa arsenal?
Yuko pale kuhakikisha barca inashinda, sio bahati mkuu!

Sasa tuambie, kwanini hizi team za england unazosema ziko hot zinashindwa kutamba UEFA, mpaka zinaonekana kama vituko zikikutana na wababe wa Spain?
 
Ha ha ha ha ha ha haaaaah kwa sababu hujajibu swali langu tufanye yameisha
 
Kama hakuna timu, Je una kumbukumbu za kombe la UEFA championship utuandikie hapa, maana hili kombe hili ndilo kipimo bora cha timu za nchi gani ni nzuri, ukimaliza UEFA championship, tuletee na records za UEFA Europa championship ambayo ni ligi ndogo inayopima tena hizo hizo clubs za ulaya kwa nafasi ya chini
 
Mara la liga hakuna timu, ghafla la liga kuna timu sita tu, sasa tukueleweje mkuu!!!?
 
Mie ze gunners ila matatizo yetu nayajua mwenyewe mtuache na babu yetu ila haiondoi ukweli kuwa Barca ni mbovu huko nyuma..... Mtakula nyingi UEFA knockout stages
Kumbe unashabikia hiki kitimu kibovu ndo maana unachonga sana, kumbe katimu kako kalivyo kabovu unalazimishia na Barca iwe mbovu, ha ha ha ha ha ha ha haaaaah
 
Tuwe na subira mkuu ntakuja kuwakumbusha kuhusu udhaifu wa ukuta wenu kma biskuti ndio mnawaza treble!!! Yaani umtiti na digne cjui samedo na roberto teh teh teh ?? Duh itakuwa world record
Mkuu, umejificha wapi?

Bado umeshikilia ule msimamo wako?

Bado unaamini EPL ni bora kuliko Laliga?
 
Mkuu, umejificha wapi?

Bado umeshikilia ule msimamo wako?

Bado unaamini EPL ni bora kuliko Laliga?
Hongereni sana vijana wa catalan kwa kuvuka kihunzi cha kwanza ila nawakumbusha tu bado kuna mechi 5 kabla hamjabeba UCL trophy hivyo tuendelee kuwa na subira kwanza

Natamani tu mpewe bayern zile 7 zijirudie πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…