Nimeshuhudia Yanga SC pekee ikitia mpira kwapani,ni June 2008

Kuweka mpira kwapani inamaanisha timu zimecheza walau kipindi flani alafu mmoja akaona hali si shwari na kwa kuwa kipindi hicho jenzi ilikuwa kama gauni basi mikia fc na viongozi wao wakaona isiwe taabu
 
Kutia mpira kwapani maana yake ,mnacheza kisha mwingine anagoma kuendelea na kuchukua mpira na kuondoka nao.

Sasa SIMBA VS YANGA nani? Aliyeweka mpira kwapani.

Iwe kwa kushuhudia au kusimuliwa au kusoma kumbukumbu.
 
kweli wewe dogo ,1992 kama sijasahau baada ya Athumani China kuwapiga goli simba dakika ya kwanza ,Simba hawakurudi uwanjani kipindi cha pili Enzi za GULLAM ALI aka GULLAMALI
hivi hazikua mbili zile!?
 
Kuweka mpira kwapani inamaanisha timu zimecheza walau kipindi flani alafu mmoja akaona hali si shwari na kwa kuwa kipindi hicho jenzi ilikuwa kama gauni basi mikia fc na viongozi wao wakaona isiwe taabu
Simba ndiyo Watalaam wa fani hiyo
 
Ni kweli kabisa yaani timu nzima ya simba ikijumuisha wachezaji na viongozi waliamua kutimua mbio live kabisaaa wakati wa mapumziko ili kujinusuru na kichapo cha mbwa mwizi
Kichapo cha mbwa mwizi ni yanga ndo aliwahi kuchapwa kichapo hicho, 6 bila,5 bila. Sema kiwango mbwa mwizi ni magoli mangapi km si hayo?
 
hahahahahahhahahahahahahahahahahahaha
ivi haya mambo ulaya yapo kweli maana toka nifuatilie soka lao sijawahi sikia....
na kama ulaya haya mambo yangekuwepo basi madrid ndio wangekua wanaongoza kuwakimbia barca ya pep guardiola maana alishakula sita akaja kula tano yani vipigo vya mbwa mwizi tu
 
Kuelekea msimu mpya unawashauri nini?
 
Kilichofanyika ktk Kombe la Kagame ni kwamba Simba waliisaliti Yanga kwa kupeleka timu uwanjani ili hali walishakubaliana kutoingiza timu kutokana na mgongano wa kimaslahi kaya hizo timu na CECAFA.
Manyani hayakosi visingizio na kauli zao bishana hadi ufe
 
Yanga hawakuingia kabisa uwanjani, Ila Simba waliingia na walivyoona mambo magumu kipindi cha pili wakatokomea kusikojulikana
Na bahati yako I'd yako inapicha ya lais wa nchi
Bahati yako
 
Hahaha...yataanzia kwa Barcelona mkuu, hawana hamu na Bayern Munich.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…