Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi hazikua mbili zile!?kweli wewe dogo ,1992 kama sijasahau baada ya Athumani China kuwapiga goli simba dakika ya kwanza ,Simba hawakurudi uwanjani kipindi cha pili Enzi za GULLAM ALI aka GULLAMALI
Simba ndiyo Watalaam wa fani hiyoKuweka mpira kwapani inamaanisha timu zimecheza walau kipindi flani alafu mmoja akaona hali si shwari na kwa kuwa kipindi hicho jenzi ilikuwa kama gauni basi mikia fc na viongozi wao wakaona isiwe taabu
Kichapo cha mbwa mwizi ni yanga ndo aliwahi kuchapwa kichapo hicho, 6 bila,5 bila. Sema kiwango mbwa mwizi ni magoli mangapi km si hayo?Ni kweli kabisa yaani timu nzima ya simba ikijumuisha wachezaji na viongozi waliamua kutimua mbio live kabisaaa wakati wa mapumziko ili kujinusuru na kichapo cha mbwa mwizi
Kuelekea msimu mpya unawashauri nini?Katika kumbukumbu zangu toka nianze kuwa mpenzi na mfuatiliaji wa mpira wa Bongo,sijawahi kushuhudia timu yeyote inayoshiriki kombe au ligi kubwa kukimbia mchezo isipokuwa Yanga
Ilikuwa ni 28 June 2008 katika kombe la Kagame dhidi ya Simba SC. Tukiwa tumejaa ukumbini kusubiri game,kwa mda mrefu tukashindwa kuelewa kuhusu Yahnga SC. Tunaona Mnyama pekee akipasha misuli tayari kwa mpambano
Hatimaye Msonye akatoa tamko la kulaani Yanga kuingia uwanjani ikitoa visingizio visivyo na akiri. Ukweli ukabaki palepale kwamba Simba alikimbiwa
Kabla na baada ya hapo sijawahi kushuhudia timu ikiweka mpira kwapani isipokuwa Yanga SC dhidi ya Simba
Lakini pia nimeshuhudia kombe la mtani jembe kuishia kusikojulikana baada ya Yanga kula 5 bila
Manyani hayakosi visingizio na kauli zao bishana hadi ufeKilichofanyika ktk Kombe la Kagame ni kwamba Simba waliisaliti Yanga kwa kupeleka timu uwanjani ili hali walishakubaliana kutoingiza timu kutokana na mgongano wa kimaslahi kaya hizo timu na CECAFA.
Alichoeleza jamaa ndio ukweli.Manyani hayakosi visingizio na kauli zao bishana hadi ufe
Na bahati yako I'd yako inapicha ya lais wa nchiYanga hawakuingia kabisa uwanjani, Ila Simba waliingia na walivyoona mambo magumu kipindi cha pili wakatokomea kusikojulikana
Hahaha...yataanzia kwa Barcelona mkuu, hawana hamu na Bayern Munich.hahahahahahhahahahahahahahahahahahaha
ivi haya mambo ulaya yapo kweli maana toka nifuatilie soka lao sijawahi sikia....
na kama ulaya haya mambo yangekuwepo basi madrid ndio wangekua wanaongoza kuwakimbia barca ya pep guardiola maana alishakula sita akaja kula tano yani vipigo vya mbwa mwizi tu