heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
- Thread starter
- #21
Dahh hakika nami najuta saiziUlitaka aendelee kukubembeleza na unamringia? Kafanya jambo jema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dahh hakika nami najuta saiziUlitaka aendelee kukubembeleza na unamringia? Kafanya jambo jema.
Hakika nimekoma akimwanaume mzima unaringia manzi? siku hizi tunaachwa aubkuacha na hatukondi pole na ukome
hatujui tulichonacho mpaka tukipotezeWananzengo
Mwanamke wangu huyu hatimae leo kanipa notice yani termination without reason,
Huyu mdada nilifahamiane nae kwa bahati bahati tu mwaka jana nilikuwa nampa upendo mapenzi moto moto
Ila tangia mwezi wa ramadhani uanze nikapunguza mawasiliano nae to lowest sikuwa na sababu maalum ila nilimgaya tu nikaja amsha mawasiliano tulipanga tukalane ila kwasababu ya ubize sikupata nafasi nikawa nampa date to update
Juzi alitaka kuongea maswala ya kutiana genye nikamcrush kwamba nipo bize inshot nilijishtukia kwa kutoa boko maana alihisi simpi attention tena kwa kauli alioingoea
Yeye ni 35 mi ni early 30 ila tulikuwa vyema tu tunaheshimiana na kuwezana ila ukimya wangu naona kaamua kujihami mapema, sikujuwa kama nilimweka moyoni kiasi hiki maana nimepata ka mshtuko na kuhisi siku imeharibika
Enewei sijui ni prank au ndo nimeshushwa cheo time will tell
Ila kiukweli nina wanawake wengi kiasi kwamba nakuwa nawapa attention kwa zamu so unakuta mwingine namgaya hata wiki mbili kavu
Mshangazi wangu sitaki kuamini umenikacha ngoja nichakate kiporo changu then nimrudie anieleze vyema kwakuwa nimewekwa friend zone ntapanga siku nimwalike chakula cha jioni nipunguze kujieleza sana lwa simu
Soon ntaitaji mshangazi mwingine
Kazia hapanipunguze kujieleza