Nimeshushwa cheo hatimae nimewekwa friend zone, neno la faraja kwanu

Huyo dada nae anatia huruma mwanaume unamringia kiasi hiko ama kweli kajikatia tamaa jua kuzama.
 
hatujui tulichonacho mpaka tukipoteze
 
Zamani nlikuwa Nadhani mwanaume akifika 30 anakuwa anajielewa ameshamaliza ujana na anajua Nini anataka....lkn kumbe sio kweli. Kuna watu Wana 30 and above na hawajui Nini wanataka Kama wewe.....Time will tell
 
Free advise, jiadhari ngwengwe iz really and it kills beba mifuko na bio line unless u will fall into deep shit coz uko na multiple choice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…