Tetesi: Nimesikia Milio ya risasi maeneo ya Moroco nani yupo jirani?

Tetesi: Nimesikia Milio ya risasi maeneo ya Moroco nani yupo jirani?

Endelea kusikiliza utuletee habari kamili
 
Unamjua bwana Hamza wewe lakini??

Pata picha na mwili ule anapita pembeni yako na mjegejo kipasso chako kinaweza zima kimasikhara.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unamjua bwana Hamza wewe lakini??

Pata picha na mwili ule anapita pembeni yako na mjegejo kipasso chako kinaweza zima kimasikhara.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Umenisikitisha saana[emoji2299][emoji2299]
 
Nimesikia Milio ya risasi maeneo ya Moroco kama mara nne hivi nipo maeneo ya shoppers hapa at this moment nasikia ving'ora shida ni nini wadau?

Usalama upo Kweli?
Ukifika kwenye jiji kubwa kama Johannesburg hiyo ni milio ya kawaida sana everyday, hata ving'ora vya polisi ndio usiseme.
 
Ndo jamii forum ya siku hizi
Anyway tuendelee kuishi kiroho Safi wadau niwavumilie tu Ila sometimes mnavurugwaga sana
 
Yaani upo Shoppers, halafu unasikia mlio wa mlipuko kama wa risasi na unasema kabisa mlio umetokea Morocco?

Shoppers ni mbali sana kuweza kusikia mlio wa risasi inayopigwa Morocco kiasi uweze jua risasi ilipopigwa...

By the way, hakuna risasi yoyote iliyopigwa si Morocco au barabara yote ya Ali Hassan Mwinyi, Mwai Kibaki, Migombani, Ubalozi, Mandazi Rd n.k
 
Yaani upo Shoppers, halafu unasikia mlio wa mlipuko kama wa risasi na unasema kabisa mlio umetokea Morocco?

Shoppers ni mbali sana kuweza kusikia mlio wa risasi inayopigwa Morocco kiasi uweze jua risasi ilipopigwa...

By the way, hakuna risasi yoyote iliyopigwa si Morocco au barabara yote ya Ali Hassan Mwinyi, Mwai Kibaki, Migombani, Ubalozi n.k

Maybe ni wale vijana wa bodaboda wako na zile styles zao wanalipua kama baruti ?
 
Back
Top Bottom