yellow eyes
JF-Expert Member
- Mar 6, 2018
- 2,897
- 3,336
Kama anakupenda na anamalengo ya dahti we focus kwenye penzi mengine waachie waongo waongee, huenda hiyo bangi anayovuta ndo huwa anainunia akupende weweNimekata tamaa ya kuwa na huyu mtu baada ya kusikia anavuta bangi, sigala, madawa na pombe Ungekuwa weh ungefanyaje?
Japo anaonesha malengo kwenye mahusiano lakini tabia zake ninazoambiwa zimenivuruga.
Kama hupendi hizo tabia zake mwambie aziache. Akiziacha ndo utajua ana malengo kweli na hayo mahusiano. Asipoacha jua hayo malengo unayoyaona ni maigizo tu.Nimekata tamaa ya kuwa na huyu mtu baada ya kusikia anavuta bangi, sigala, madawa na pombe Ungekuwa weh ungefanyaje?
Japo anaonesha malengo kwenye mahusiano lakini tabia zake ninazoambiwa zimenivuruga.
Mnunulie umuone.Nimekata tamaa ya kuwa na huyu mtu baada ya kusikia anavuta bangi, sigala, madawa na pombe Ungekuwa weh ungefanyaje?
Japo anaonesha malengo kwenye mahusiano lakini tabia zake ninazoambiwa zimenivuruga.
You can change herNimekata tamaa ya kuwa na huyu mtu baada ya kusikia anavuta bangi, sigala, madawa na pombe Ungekuwa weh ungefanyaje?
Japo anaonesha malengo kwenye mahusiano lakini tabia zake ninazoambiwa zimenivuruga.
Bora uachane naye kwa sababu umeshaonesha dalili za kutaka mahusiano yenu yaendeshwe na YA KUAMBIWANimekata tamaa ya kuwa na huyu mtu baada ya kusikia anavuta bangi, sigala, madawa na pombe Ungekuwa weh ungefanyaje?
Japo anaonesha malengo kwenye mahusiano lakini tabia zake ninazoambiwa zimenivuruga.
Akiwa na wewe akiambiwa na watu wewe ni panya road mbobezi atakuja kukuanzishia uzi hapaUnaye nafasi ya kumbadilisha na itakuwa ni heshima kubwa sana kwako.
Piga chini,atakupotezea malengo
Shida ipo kwenye anavuta Bangi ya aina gani na ya shingapiNimekata tamaa ya kuwa na huyu mtu baada ya kusikia anavuta bangi, sigala, madawa na pombe Ungekuwa weh ungefanyaje?
Japo anaonesha malengo kwenye mahusiano lakini tabia zake ninazoambiwa zimenivuruga.
Kumbe we dume?
Hivi mashoga wanapataga mimba na kuzaa?Nimevaa kiatu cha mamacoldwater
Naona kabisa ninavyoletewa mkwe mvuta bangi, mnywa Pombe na mtumia madawa. Najiuliza kama nitajilwa wajukuu wataanza ulevi wakiwa tumboni au wataanza kujidunga kokeini wakiwa chekechea!?
Mungu tunusuru
Hivi mashoga wanapataga mimba na kuzaa?