Nimesikia mpenzi wangu anavuta bangi, nifanyaje?

Nimekata tamaa ya kuwa na huyu mtu baada ya kusikia anavuta bangi, sigala, madawa na pombe Ungekuwa weh ungefanyaje?

Japo anaonesha malengo kwenye mahusiano lakini tabia zake ninazoambiwa zimenivuruga.
Kama anakupenda na anamalengo ya dahti we focus kwenye penzi mengine waachie waongo waongee, huenda hiyo bangi anayovuta ndo huwa anainunia akupende wewe
 
Nimekata tamaa ya kuwa na huyu mtu baada ya kusikia anavuta bangi, sigala, madawa na pombe Ungekuwa weh ungefanyaje?

Japo anaonesha malengo kwenye mahusiano lakini tabia zake ninazoambiwa zimenivuruga.
Kama hupendi hizo tabia zake mwambie aziache. Akiziacha ndo utajua ana malengo kweli na hayo mahusiano. Asipoacha jua hayo malengo unayoyaona ni maigizo tu.

ila kumbuka hakuna kitu kigumu kuacha kama tabia. So jiandae kutafuta mwanamwali mwingine.
 
Nimekata tamaa ya kuwa na huyu mtu baada ya kusikia anavuta bangi, sigala, madawa na pombe Ungekuwa weh ungefanyaje?

Japo anaonesha malengo kwenye mahusiano lakini tabia zake ninazoambiwa zimenivuruga.
Mnunulie umuone.
 
Unaye nafasi ya kumbadilisha na itakuwa ni heshima kubwa sana kwako.
 
Nimekata tamaa ya kuwa na huyu mtu baada ya kusikia anavuta bangi, sigala, madawa na pombe Ungekuwa weh ungefanyaje?

Japo anaonesha malengo kwenye mahusiano lakini tabia zake ninazoambiwa zimenivuruga.
You can change her

Down in the human heart , touched by a loving caring hand, chords that are broken.. Will vibrate once more!

Muoneshe upendo
Muoneshe unamjali
Muoneshe unamheshimu
Mdikilize hisia zake kwa upole na utulivu
Msapoti maumivu yake! Msaidie UTAMBADILISHA..! Lakini kama tu unampenda kwa dhati
 
Nimekata tamaa ya kuwa na huyu mtu baada ya kusikia anavuta bangi, sigala, madawa na pombe Ungekuwa weh ungefanyaje?

Japo anaonesha malengo kwenye mahusiano lakini tabia zake ninazoambiwa zimenivuruga.
Bora uachane naye kwa sababu umeshaonesha dalili za kutaka mahusiano yenu yaendeshwe na YA KUAMBIWA

Kiufupi hauna msomamo wala malengo. Unategemea sauti za pembdni.

Wewe ndo tatizo
 
Nimekata tamaa ya kuwa na huyu mtu baada ya kusikia anavuta bangi, sigala, madawa na pombe Ungekuwa weh ungefanyaje?

Japo anaonesha malengo kwenye mahusiano lakini tabia zake ninazoambiwa zimenivuruga.
Shida ipo kwenye anavuta Bangi ya aina gani na ya shingapi
 
Baya lisilokudhuru ni jema lisilo na faida.Mwache avute haina ubaya.
 
Nimevaa kiatu cha mamacoldwater
Naona kabisa ninavyoletewa mkwe mvuta bangi, mnywa Pombe na mtumia madawa. Najiuliza kama nitajilwa wajukuu wataanza ulevi wakiwa tumboni au wataanza kujidunga kokeini wakiwa chekechea!?

Mungu tunusuru
Hivi mashoga wanapataga mimba na kuzaa?
 
Back
Top Bottom