Nimesikia mpenzi wangu anavuta bangi, nifanyaje?

Nimesikia mpenzi wangu anavuta bangi, nifanyaje?

Eeeh Mungu Baba tuepushe Na huyu baradhuli ..,Bedui,mja Laaana, Shetani mkubwa..... Jamani embu ongezeeeeni majina mengine...Bandidu mkubwa...! Bladful..
 
Heee umeandika kidemu. Kumbe Ni Hawa. Head to Head
FB_IMG_16629108976349243.jpg
 
Umesikia tu sasa inabidi ujithibitishie, Kama ikiwa ni kweli basi achana naye.
 
Nimekata tamaa ya kuwa na huyu mtu baada ya kusikia anavuta bangi, sigala, madawa na pombe Ungekuwa weh ungefanyaje?

Japo anaonesha malengo kwenye mahusiano lakini tabia zake ninazoambiwa zimenivuruga.

Nimevaa kiatu cha mamacoldwater
Naona kabisa ninavyoletewa mkwe mvuta bangi, mnywa Pombe na mtumia madawa. Najiuliza kama nitajilwa wajukuu wataanza ulevi wakiwa tumboni au wataanza kujidunga kokeini wakiwa chekechea!?

Mungu tunusuru
 
Una akili timamu kabisa kabisa? Yaani mwanamke anayevuta bangi, pombe, sigara, cocaine huwezi kumtambua hata kwa macho pamoja na swaga zake??

Usisikilize maneno ya watu.
 
Nimekata tamaa ya kuwa na huyu mtu baada ya kusikia anavuta bangi, sigala, madawa na pombe Ungekuwa weh ungefanyaje?

Japo anaonesha malengo kwenye mahusiano lakini tabia zake ninazoambiwa zimenivuruga.
Ningekua mim ningeendelea nae...bangi kitu ndogo sana hayo madawa ndo hatujajua ni cocaine au heroine au vumbi la congo
 
Back
Top Bottom