Tetesi: Nimesikia Rayvanny anataka kumpandishia nyimbo Diamond...!!!

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
Za chini chini zinasema Diamond kesho anataka kuachia ngoma nyingine.

Wanasema baada ya kufahamu ilo Rayvanny nae anataka kumpandishia ngoma ili kinuke.

Inawezekana ni coincidence tu watu wanataka kuchochea vita ila kama ni kwa nia mbaya basi mapanga yatatolewa galani atazamwi mtu usoni πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Eti jamani πŸ€”
 
Hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…