Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kagera hipo North west kazkazini magharibiNa Kagera iko wapi
Je tunatumia reference point gani
Ni kaskazini Magharibi ndiyo. Mara, Mwanza na hata Arusha zipo Kaskazini magharibi.
Kagera na mikoa jirani ipo Kaskazini Mashariki.
Mara ipo Kaskazini, sio kaskazini magharibi
Cha ajabu Kilimanjaro ndio inaitwa KaskaziniUkitazama ramani utaona hata Dodoma yenyewe haiko katikati kabisa, iliyo katikati ni Singida, na ndiyo mtazamo wangu kuwa true North inaelekea Mara, Kilimanjaro NE
Usikariri nenda kwenye uhalisia, simika dira Dodoma au Singida ndipo useme, kudhani kila kilichomo kwenye vitabu ni sahihi ni sawa na yale ya rangi za bendera ya taifa