Nimesikia Tarime iko Kaskazini Magharibi mwa Tanzania

Nimesikia Tarime iko Kaskazini Magharibi mwa Tanzania

Katikati ni wapi

Tazama hiyo picha nimekuwekea hapo, we si ulisoma elimu isiyo ya kukariri kama unavyosema wengine tulisoma...

Tafuta bikari na kipima pembe uanze kupima...
 
Mkuu ukiweka compus Dodoma au Singida utaona Kagera, Tabora, Shinyanga, Geita na Kigoma ziko Magharibi na siyo Mara, halafu Kilimanjaro na Arusha zinazotajwa kuwa zipo North kiuhalisia zipo Kaskazini Mashariki
Bado kagera haiwezi kuwa magharibi bali itakuwa kazkazini magharibi ukiweka compas ila Rukwa katavi Kigoma Taboro zipo magharibi
 
Wakati wenzio wanasoma wewe ulikuwa bize kusugua mkono ili usikie harufu ya mavi ya kuku
 
Jenga hoja
Kama hutaki kupata maarifa kwa wanaojua ama kukuzidi manake wewe una maarifa yako, baki nayo. Watu wametumia mda, akili na bando zao kuchangia mada yako ila unaleta ubishi tu.
 
Kama hutaki kupata maarifa kwa wanaojua ama kukuzidi manake wewe una maarifa yako, baki nayo. Watu wametumia mda, akili na bando zao kuchangia mada yako ila unaleta ubishi tu.
Kwani ni mimi peke yangu ninayebisha au wapo na wengine
 
Back
Top Bottom