kivipi mkuu, tunaomba ufafanuziNenda uanze kuchangia kwa hiari Yan binafsi baada ya six months ukiona vipi unavuta yote uachi hata kumi
Siku shemeji yako (yaani mume wa dadaako) akichoka kukununulia ugali ndio utajua maisha ni mada mtambuka. Kwa sasa endelea tu kunyang'anyana remote control ya TV na dada wa kazi. Ila kumbuka, urembo wa dadaako unachuja kwa kadiri uzee unavyomjiaKama umetumwa na viongozi wako wa cha demu kuja kuchonganisha Serikali ya awamu ya tano na wananchi wake ujue umekwama. Serikali hii hailali muda wote