Tetesi: Nimesikia tetesi kwamba lile fao la kujitoa lililokuwa limezuiliwa, sasa limeruhusiwa

Tetesi: Nimesikia tetesi kwamba lile fao la kujitoa lililokuwa limezuiliwa, sasa limeruhusiwa

Kwekitui

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2017
Posts
1,070
Reaction score
1,083
Wakuu habari za asubuhi?
Nimesikia tetesi kwamba lile fao la kujitoa lililokuwa limezuiliwa awali kwamba hadi mwanachama afikishe miaka 55 ndipo anaruhusiwa kwenda kuchukua fao lake

Wakuu hapa kuna ukweli wowote?
Nina kiasi pale NSSF kimekwama kikisubiria nifike miaka 55 Mola akijaalia na sasa nipo 31s..

Kama ni kweli nianze mchakato wa kuiendea
 
nipo siti ya mbele nasubiri wadau waje na mimi nikafatilie changu.
 
Kama umetumwa na viongozi wako wa cha demu kuja kuchonganisha Serikali ya awamu ya tano na wananchi wake ujue umekwama. Serikali hii hailali muda wote
 
Nenda uanze kuchangia kwa hiari Yan binafsi baada ya six months ukiona vipi unavuta yote uachi hata kumi
 
Kama umetumwa na viongozi wako wa cha demu kuja kuchonganisha Serikali ya awamu ya tano na wananchi wake ujue umekwama. Serikali hii hailali muda wote
Siku shemeji yako (yaani mume wa dadaako) akichoka kukununulia ugali ndio utajua maisha ni mada mtambuka. Kwa sasa endelea tu kunyang'anyana remote control ya TV na dada wa kazi. Ila kumbuka, urembo wa dadaako unachuja kwa kadiri uzee unavyomjia
 
Back
Top Bottom