Mayunga234
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,725
- 1,995
Wapo wenye mtazamo kinyume nawe, hujaona mtu akioa kiwete, kiziwi, kipofu bubu!?Nyimbo zingine zote hamna kitu na marudio tu ya ngoma zake zingine
Nimeskiliza ngoma zote za album ya Alikiba ngoma zimepoa sana
Kati ya nyimbo zote nimependa nyimbo mbili tu
*Niteke
*Let me
Nyimbo zingine zote hamna kitu na marudio tu ya ngoma zake zingine
Ngoma chache sana ndo zenye vibe, na siku hizi watu wanapenda ngoja zenye vibe sio za kuskiliza
....tupe maoni yako juu ya hii Album ya Alikiba #Onlyking
!Ila king atendelea kuwa king tu![emoji58]
Ngumu kumlizisha kila mtu na kwenye album mara nyingi kila mtu ana ngoma yake anayo ipenda.Nimeskiliza ngoma zote za album ya Alikiba ngoma zimepoa sana
Kati ya nyimbo zote nimependa nyimbo mbili tu...
Hii Gimme dat
Hii Niteke ndo balaa
Hii Bwana mdogo ni shida
Ila nyngne za kawaida sana kama UTU ya kawaida mno
Tusibr album za wasanii wengne Mayonaizi,Juksi,Sadala,Dumpoz wote wanatoa mwaka huu
He, who is against the king shall not live.Sasa hii ban usiku huu umeitoa wapi!??