Nimesikiliza album yote ya ALI KIBA, frankly speaking ngoma zimepoa mno

Nimeskiliza ngoma zote za album ya Alikiba ngoma zimepoa sana. Kati ya nyimbo zote nimependa nyimbo mbili tu

*Niteke
*Let me

Nyimbo zingine zote hamna kitu na marudio tu ya ngoma zake zingine.

Ngoma chache sana ndo zenye vibe, na siku hizi watu wanapenda ngoja zenye vibe sio za kuskiliza

Tupe maoni yako juu ya hii Album ya Alikiba #Onlyking

!Ila king atendelea kuwa king tu![emoji58]
najaribu kutafuta nyimbo mbaya hapa nakosa
au mimi sijui kusikiliza?
 
Ilikuzipenda nyimbio za kiba inakubidi uzisikilize kwa umakini nakuzielewa, kwahyo jipe mda uzisikilize tena.
 
Nimeskiliza ngoma zote za album ya Alikiba ngoma zimepoa sana. Kati ya nyimbo zote nimependa nyimbo mbili tu

*Niteke
*Let me

Nyimbo zingine zote hamna kitu na marudio tu ya ngoma zake zingine.

Ngoma chache sana ndo zenye vibe, na siku hizi watu wanapenda ngoja zenye vibe sio za kuskiliza

Tupe maoni yako juu ya hii Album ya Alikiba #Onlyking

!Ila king atendelea kuwa king tu![emoji58]
Kuna vitamini muhimu unaikosa mwilini kwako.... kula sana ndizi kisukari.
 
Jamaa anajaribu kushawishi tukubaliane na mtazamo wake ......ukweli ni kwamba ktk muziki hakuna msimamo wa pamoja kuhusu wimbo fulani kama ni mzuri au la
 
Nimeskiliza ngoma zote za album ya Alikiba ngoma zimepoa sana. Kati ya nyimbo zote nimependa nyimbo mbili tu

*Niteke
*Let me

Nyimbo zingine zote hamna kitu na marudio tu ya ngoma zake zingine.

Ngoma chache sana ndo zenye vibe, na siku hizi watu wanapenda ngoja zenye vibe sio za kuskiliza

Tupe maoni yako juu ya hii Album ya Alikiba #Onlyking

!Ila king atendelea kuwa king tu![emoji58]
Mara nyingi huyo jamaa ukisikiliza nyimbo zake kwa mara ya kwanza huwa zinapooza mno ila muda unavyozidi kwenda ndio anaposhangaza kwa nyimbo zake kuwa hit

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
IMG_1963.png
 
Nimeskiliza ngoma zote za album ya Alikiba ngoma zimepoa sana. Kati ya nyimbo zote nimependa nyimbo mbili tu

*Niteke
*Let me

Nyimbo zingine zote hamna kitu na marudio tu ya ngoma zake zingine.

Ngoma chache sana ndo zenye vibe, na siku hizi watu wanapenda ngoja zenye vibe sio za kuskiliza

Tupe maoni yako juu ya hii Album ya Alikiba #Onlyking

!Ila king atendelea kuwa king tu![emoji58]
Baada ya kuskiliza Album ya Ali Kiba , naomba nikiri wazi kuwa Ali Kiba ni King wa Bongo Flava, vijana waliopoteza dira ya utunzi wa mashairi kama Vile Diamond na Baddest 47 wanatakiwa kumuona Ali kwa ushauri na msaada zaidi.
 
Kama unatafuta matusi kwa Kiba hautayapata hivyo hautaelewa nyimbo zake, endelea kusikiliza watu wako wanaoimba matusi utawaelewa achana na Kiba.
 
Ok
 
una akili finyu sana itakuwa unaishi kwenu wewe
 
Sio kwa ubaya ila hivi mtu akiishi kwao kwani ni dhambi[emoji23][emoji23]
Dhambi kubwa sana kwasababu Akili haikui na huwezi kufikiria nje ya box
Ugal bure
Kulala bure saa ngapi utakuwa unawaza nje ya box
 
Back
Top Bottom