Nimesikiliza EP ya Rose Ndauka, huyu dada ni noma kama Nikki Minaji

Nimesikiliza EP ya Rose Ndauka, huyu dada ni noma kama Nikki Minaji

sasa mkuu unakuta et rose ndauka anafananishwa na nicki minaj, cr7 anafananishwa na haaland, kanumba anafananishwa na denzel, kwa mtu mwenye utimamu wa akili unaachaje kulia sasa.
rusha hata ngumi mkuu,...😂😂🤣
 
Back
Top Bottom