Nimesikiliza hoja za G55 nimegundua ni pointless

Mr Why

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2019
Posts
2,992
Reaction score
5,665
Nimesikiliza hoja za G55 nimegundua ni pointless, uongozi wa CHADEMA ondoeni hii aibu kwa kuwafuta hawa wahuni

Sikujua kama Mrema angezungumza makapi kama haya, nilidhani ana hoja za msingi kumbe ni pointless

Mrema ameonesha uma kiasi gani hafanani na elimu aliyopata chuo kikuu

Anatia aibu wakuu, haeleweki anachokizungumza kila mwandishi wa habari anamshangaa, hata hivyo alikua mlevi, dada aliyeko pembeni anacheka cheka haelweki anachocheka

Nikisema nimzungumzie Mrema kwa undani nitajikuta navunja sheria za JF wacha tu nikae kimya

View: https://youtu.be/8X9aksS1quw?si=RmSJeQJUpcurcPlV
 
Mkuu ungedadavua pointless ni ipi? wao wamekuja kutoa ufafanuzi kwa walichomuandikia katibu ,je kati ya hoja zao tano ipi ni pointless?
 
Anasema waende tu kwenye uchaguzi huku wakihangaikia mabadiliko bungeni, sasa watashindaje kabla ya hayo mabadiliko?

Anadai msisitizo wa No Election utasababisha kazi za watu kuharibika kwasababu ya kukosana na Serikali, Serikali haiwezi kulipa visasi kwa wapinzani bali Serikali inaadhibu mtu yeyote endapo akiwa amevunja Sheria na sio kulipa kisasi.

Kulipa kisasi ni jambo linaloonekana kwa uwazi hivyo ni rahisi kwa anayeonewa kulalamika ndio maana Serikali inakwepa sana kulipa kisasi kwasababu italalamikiwa sana lakini kama anaadhibiwa kwa kuvunja Sheria hawezi kuanzisha malalamiko
 
Nimesikiliza hoja za G55 nimegundua ni pointless, uongozi wa CHADEMA ondoeni hii aibu kwa kuwafuta hawa wahuni

Sikujua kama Mrema angezungumza makapi kama haya, nilidhani ana hoja za msingi kumbe ni pointless

Mrema ameonesha uma kiasi gani hafanani na elimu aliyopata chuo kikuu

Anatia aibu wakuu, haeleweki anachokizungumza kila mwandishi wa habari anamshangaa, hata hivyo alikua mlevi, dada aliyeko pembeni anacheka cheka haelweki anachocheka

Nikisema nimzungumzie Mrema kwa undani nitajikuta navunja sheria za JF wacha tu nikae kimya

View: https://youtu.be/8X9aksS1quw?si=RmSJeQJUpcurcPlV

Ulitegemea maneno ya kukufurahisha wewe,?
 
Wanataka kuanzisha Chama kipya hao wajitoe Chadema wakipata mtu au chama cha kuwashika mkono(mfadhili ) wanaondoka Chadema maana wanasiasa wengi wapo kwa ajili ya maslahi yao na si Wananchi ndio maana unaona migogoro kila kukicha wakisaka tonge.
 
Back
Top Bottom