Nikisema nimzungumzie Mrema kwa undani nitajikuta navunja sheria za JF wacha tu nikae kimyaNimesikiliza hoja za G55 nimegundua ni pointless, uongozi wa CHADEMA ondoeni hii aibu kwa kuwafuta hawa wahuni
Sikujua kama Mrema angezungumza makapi kama haya, nilidhani ana hoja za msingi kumbe ni pointless
Mrema ameonesha uma kiasi gani hafanani na elimu aliyopata chuo kikuu
Anatia aibu wakuu, haeleweki anachokizungumza kila mwandishi wa habari anamshangaa, hata hivyo alikua mlevi, dada aliyeko pembeni anacheka cheka haelweki anachocheka
Nikisema nimzungumzie Mrema kwa undani nitajikuta navunja sheria za JF wacha tu nikae kimya
View: https://youtu.be/8X9aksS1quw?si=RmSJeQJUpcurcPlV
Nimesikiliza hoja za G55 nimegundua ni pointless, uongozi wa CHADEMA ondoeni hii aibu kwa kuwafuta hawa wahuni
Sikujua kama Mrema angezungumza makapi kama haya, nilidhani ana hoja za msingi kumbe ni pointless
Mrema ameonesha uma kiasi gani hafanani na elimu aliyopata chuo kikuu
Anatia aibu wakuu, haeleweki anachokizungumza kila mwandishi wa habari anamshangaa, hata hivyo alikua mlevi, dada aliyeko pembeni anacheka cheka haelweki anachocheka
Nikisema nimzungumzie Mrema kwa undani nitajikuta navunja sheria za JF wacha tu nikae kimya
View: https://youtu.be/8X9aksS1quw?si=RmSJeQJUpcurcPlV
Anasema waende tu kwenye uchaguzi huku wakihangaikia mabadiliko bungeni, sasa watashindaje kabla ya hayo mabadiliko?Mkuu ungedadavua pointless ni ipi? wao wamekuja kutoa ufafanuzi kwa walichomuandikia katibu ,je kati ya hoja zao tano ipi ni pointless?
UpuuziNikisema nimzungumzie Mrema kwa undani nitajikuta navunja sheria za JF wacha tu nikae kimya
Na ana matumain atavuka kwa aina hii ya uchaguzi? Why watu wanaota mchana?Mrema anasema wanatafuta mfadhili awawezeshe wagombee Ubunge
Tuliosoma VETA tumeelewa hii kauli ina maana gani.
Ulitegemea maneno ya kukufurahisha wewe,?Nimesikiliza hoja za G55 nimegundua ni pointless, uongozi wa CHADEMA ondoeni hii aibu kwa kuwafuta hawa wahuni
Sikujua kama Mrema angezungumza makapi kama haya, nilidhani ana hoja za msingi kumbe ni pointless
Mrema ameonesha uma kiasi gani hafanani na elimu aliyopata chuo kikuu
Anatia aibu wakuu, haeleweki anachokizungumza kila mwandishi wa habari anamshangaa, hata hivyo alikua mlevi, dada aliyeko pembeni anacheka cheka haelweki anachocheka
Nikisema nimzungumzie Mrema kwa undani nitajikuta navunja sheria za JF wacha tu nikae kimya
View: https://youtu.be/8X9aksS1quw?si=RmSJeQJUpcurcPlV
Maana yake ni uzushi, uwongo na umbea ndio maana maadili ya JF hayaruhusuNikisema nimzungumzie Mrema kwa undani nitajikuta navunja sheria za JF wacha tu nikae kimya
Hakuzidi we nyumbuMrema mtu wa hovyo sana kwasasa hana nafasi yeyote ya uongozi CDM atulie