Huelewei kwa nini watu walioajiriwa leo wanafutwa kazi hata kesho yake?? Kazi zisizo za kitaaluma kama dereva unauliza kwa nini walimuajiri in first place?? Udereva ni kazi zisizo za kitaaluma kama kibarua au saidia fundi.Walimuajiri wa nini in the first place?? Na gari wakampa.
Unaelewa maana ya other roles?Constructive termination.
Duuh mkuu unaishi dunia ipi??Huelewei kwa nini watu walioajiriwa leo wanafutwa kazi hata kesho yake?? Kazi zisizo za kitaaluma kama dereva unauliza kwa nini walimuajiri in first place?? Udereva ni kazi zisizo za kitaaluma kama kibarua au saidia fundi.
Huwezi kuwa swala tano then ukawa mzima upstairs.
Ina maanisha nini?Haimaanishi hivyo.
Kwenda Veta au NIT hakuufanyi udereva kuwa kazi ya kitaaluma, hakuna hata degree ya udereva ila kuna degree ya mapishi inaitwa culinary arts.Duuh mkuu unaishi dunia ipi??
Veta na NIT huko unadhani watu wanacheza rede au??
Na sihitaji kupandishwa cheo kwenye kazi ya utumwaNyie ndiyo waafrika halisi, tumejaa ujinga na kujiwekea mipaka katika kupanua uelewa na kufanya multi-task katika majikumu ya kila siku.
Lazima uwe flexible na kuwa tayari kujifunza jambo jipya nje ya kazi yako mama. Wewe ukiwa kwenye ofisi yangu, sikupandishi cheo hata kidogo maana akila yako iko domant
CAG hapaswi kuondolewa kwa sababu zozote kabla hajamaliza muda wake isipokuwa za kimaadili tu tena kwa kuundiwa tume maalumu, dereva anaweza kuondolewa kama hana mtu wa kumuendesha.Sijaona kosa la Prof.kumfukuza kazi huyo dereva! Kama alikuwa jobless angekuwa analipwa mshahara bure.
Hata hivyo Prof hakutumia busara kumfukuza kazi huyo!
Kwa namna ambavyo hakumhurumia huyo dereva ndiyo Magufuri hakumhurumia wakati anaachishwa u CAG!
Yaan huyo mfanyakaz akikomaa analipwa mabilioni ya pesa. Mahakama, itaangalia utaratibu kama ulifuatwa, mfano je kwenye faili la mfanyakaz kuna barua ya onyo.Hata mimi nilimshangaa ,
Unajisifiaje kumuachisha mtu kazi kwa kukataa kufanya majukumu ambayo sio yake kimkataba??
Kupanga mafile kuna shida gani?, Mimi nimefanya kazi na madriver wenye elimu ya uhasibu 2. Siku ambayo hatuendi field walikuwa wanamsaidia mhasibu kazi za kihasibu, baada ya kuona utayari wao tuliwapandishia mishara.Na sihitaji kupandishwa cheo kwenye kazi ya utumwa
Huwezi ukampa mtu kazi kama driver kesho ukamwambia apange mafile kesho kutwa awe Gardner baada ya hapo aandae chai kisa awe flexible kama ni hivyo wangeorodhesha kwenye job descriptions kuwa kuna kupanga mafile
Ndani ya Ile taaluma Yako sio nje ya taaluma Yako,ukifanya nje ya taaluma Yako unaweza kuwekewa mtego Kisha ukaingia matatizoniKuna mstari unasema
"..na majukumu mengine ambayo utapangiwa na mwajiri wako."
Ukabila unakusumbua. Utabaki hivyo hivyo na Mungu akusame tu kwa kuwa hujui ulitendalo.Hii mada nilichikiona wasukuma wengi wamekerekwa sana na mahojiano ya assad
Mambo sio rahisi hivyo, kama huna majukumu ya kufanya kazini unatakiwa uondolewe, huwezi kulipwa wakati huzalishi chochote.Yaan huyo mfanyakaz akikomaa analipwa mabilioni ya pesa. Mahakama, itaangalia utaratibu kama ulifuatwa, mfano je kwenye faili la mfanyakaz kuna barua ya onyo.
Babako marehemu alimtishia akamwambia analindwa na nani wakati yeye ana majeshi yote ya ulinzi na usalama .hivi sasa Yuko wapi?Hapa tunajadili kufuata taratibu za ajira na sio utu.
Tukimaliza hilo tutakuja kwenye huo utu unaouzungumzia ambao hata huo huyo mtu wako hana.