Nimesikiliza mahojiano ya Prof. Assad na Kikeke, huyu Prof. ana ujuaji mwingi. Unafukuzaje mfanyakazi akikataa kufanya majukumu ambayo sio yake?

Taasisi gani?
 
Kila akishika maiki ni kulalamikia issue ya kuachishwa Kazi......Sina hakika ila nahisi palikua na jambo
Assad is overrated. Huyu mnaemuita genius, mnasahau kuwa huyu bwana na rafiki yake Ramadhan Kitwana. Dau ni mafisadi waliochangia kuua Nssf!! He has no moral authority to give advice on issues of national interest.
 
Unaelewa maana ya taaluma kwanza?? Ukienda kuajiriwa kama daktari mahali ukapewa gari la kuendesha mwenyewe kwenda kazini ukiulizwa una taaluma gani utasema una taaluma ya udaktari na udereva??
Muulize kuna degree au diploma ya driving?. Professional inaanzia bachelor degree na kuendelea, yeye anathani certificate in driving ni taaluma. Nchi hii imejaa wajinga wengi sana.
 
Muulize kuna degree au diploma ya driving?. Professional inaanzia bachelor degree na kuendelea, yeye anathani certificate in driving ni taaluma. Nchi hii imejaa wajinga wengi sana.
Mjinga ni wewe hapo unayetudanganya hapa kuwa proffession zinaanza kwa level ya degree tu.

Huo uongo kawadanganye hapo kijiweni kwenu.
 
Mjinga ni wewe hapo unayetudanganya hapa kuwa proffession zinaanza kwa level ya degree tu.

Huo uongo kawadanganye hapo kijiweni kwenu.
Kwa namna hii lazima aamini prof ni genius
Na hawezi kukosea
 
wewe gonjwa stroke ama umeamua kupotosha kwa makusudi au hujasikiliza mwanzo mwisho au umesikiliza kichwa chako hakijaelewa.
 
Mjinga ni wewe hapo unayetudanganya hapa kuwa proffession zinaanza kwa level ya degree tu.

Huo uongo kawadanganye hapo kijiweni kwenu.
Tuambie professional inaanzia level gani ya elimu kwa usomi wako?
 
Kwani hoja yako ni nini hapa...?

KWANZA; Mfano wako wa dereva wa Morogoro na yeye kama CAG ni quite irrelevant....

PILI; Hata kama ingekuwa hivyo, kosa la kwanza halitoi uhalali wa kosa la pili...

TATU; Ukiajiriwa kuwa dereva, siku zote ktk majukumu utakayoorodheshewa kuwafanya ukiacha kuendesha gari pekee, pia lazima liwepo na "majukumu mengine utakayoagizwa na mwajiri wako kufanya"

NNE; Huyo dereva kama alikuwa haendeshi gari kwa wakati huo, ilikuwa sahihi kabisa kumpa kazi nyingine ya kufanya kwa mshahara wake uleule wa udereva. Kama alianza kudai fedha/mshahara mwingine wa "kupanga mafaili" huku akilipwa wa udereva bila kufanya kazi ya udereva, ilikuwa ni halali aachichwe kazi huyo....!

##All in all, kulinganisha mazingira ya kuachichwa kazi kwa dereva na CAG (jukumu la kikatiba) ni ukichaa wa mwenye fikra hizo...!!

Pole sana Mr/Miss/Mrs Stroke
 
Kichaa wa kwanza kabisa ni huyo mhusika aliyeleta hiyo stori ya dereva ndani ya mjadala serious wa u- CAG.
 
M

Mimi jambo lililonigusa ni pale aliposema mke wake alikuwa anasikiliza maongezi yake ya kwenye simu kuhusu kazi yake ya CAG kwa kuwa alikuwa anaweka loud speaker wakiwa nyumbani na mke wake.Ni mwiko kwa mtumishi wa umma kutoa Siri za kiofisi hata kwa mtu wa karibu akiwemo mweza.
Mimi jambo
 
Nahuyo mkewe alimkataza kwenda kumzika mzazi wake ambae ni mkristo
 
Kumbe huna unalojua ndio maana huyu profesa akiwaeleza hamuelewi.
Hakuna maelezo yanaweza justify huu ujinga aliofanya.

Maamuzi yake yalikua mabaya na yangeweza iingizia taasisi hasara kama huyo mfanyakazi angekuwa serious kudai haki zake.

Kwa ufupi tu, ana ujuaji wa kijinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…