Nimesikiliza mahojiano ya Prof. Assad na Kikeke, huyu Prof. ana ujuaji mwingi. Unafukuzaje mfanyakazi akikataa kufanya majukumu ambayo sio yake?

Kwa kweli Prof pale hakuchagua sawa sawa Cha kuongea
Anyway mwisho wa hadithi yake nimeona Magu alikuwa sawa
Maana huwezi mbadilishia mtu majukumu nje ya mkataba wake wa kazi kwa lazima na haraka haraka unasema fukuza huyu!!
Watu wote waliokuwa wanatemwa na Magu, baadae kwenye uongozi wa chura kiziwi ndio tumegundua kwamba kumbe kweli walikuwa wapumbavu tu
 
Kama umeajiriwa na imefikia mahali majukumu yako hayapo tena hapo kazini unatakiwa uondolewe hapa kazini au ufanye kazi nyingine,
Unataka ulipwe bure tu wakati hufanyi kazi yoyote??
Yaan ndugu sheria za Kaz ni so sensitive kwa wafanyakaz. Ukiajiliwa unasaini employment contract. Kwenye contract kuna responsibility au majukumu yako ya kazi utakazofanya. Pia, ukikaa mwaka mmoja unadhibitishwa kazini. Unakuwa mfanyakaz wa kudumu. Sasa responsibility zako kwenye contract ni udereva lakin unaambiwa kupanga mafaili. Tayari ni mgogoro. Unless otherwise kwenye contract wakiwa waneandika and other duties than these,which you may be assigned by your employer. Lakin components za employment contract hauwezi kuwa, assigned other duties outside the scope of your professional.
 
Anchopigania ni nini tofauti na dereva wake? Sababu yeye na Zitto wamefungua kesi ya kutenguliwa kwake haukufuata sheria, mkataba wa kazi aliyopewa alipoajiriwa. Ni miaka minne sasa anapambana mahakamani japo yupo 64/65 umri wa kustaafu ulishapita. Wakati huo Ansema fukuza huyo bila kuzingatia haki zake sababu ni dereva.
Dereva wake alikuwa analipwa mshahara wa bure bila kufanya kazi, alipopangiwa majukumu mengine akasusa na kugoma kwenda kazini. Assad alikuwa anafanya kazi yake na bado alikuwa anahatijika, pia cheo chake cha CAG kina ulinzi wa kikatiba kama wa jaji au Rais na kina maslahi mapana ya taifa.
 
Yaan ndugu sheria za Kaz ni so sensitive kwa wafanyakaz. Ukiajiliwa unasaini employment contract. Kwenye contract kuna responsibility au majukumu yako ya kazi utakazofanya. Pia, ukikaa mwaka mmoja unadhibitishwa kazini. Unakuwa mfanyakaz wa kudumu. Sasa responsibility zako kwenye contract ni udereva lakin unaambiwa kupanga mafaili. Tayari ni mgogoro. Unless otherwise kwenye contract wakiwa waneandika and other duties than these,which you may be assigned by your employer. Lakin components za employment contract hauwezi kuwa, assigned other duties outside the scope of your professional.
Watu wanajadili kwa hisia hapa bila kuwa na facts.
 
Hakuna maelezo yanaweza justify huu ujinga aliofanya.

Maamuzi yake yalikua mabaya na yangeweza iingizia taasisi hasara kama huyo mfanyakazi angekuwa serious kudai haki zake.

Kwa ufupi tu, ana ujuaji wa kijinga.
Nyie wafuasi wa magufuli mna hasira kwa sababu profesa kamvua nguo mtu wenu.
 
Dereva wake alikuwa analipwa mshahara wa bure bila kufanya kazi, alipopangiwa majukumu mengine akasusa na kugoma kwenda kazini. Assad alikuwa anafanya kazi yake na bado alikuwa anahatijika, pia cheo chake cha CAG kina ulinzi wa kikatiba kama wa jaji au Rais na kina maslahi mapana ya taifa.

Kwahiyo ndio mtu kama wewe na Assad mtawafukuza hovyo wafanyakazi wa chini kisa kazi zao hazina ulinzi wa kikatiba. Unatetea sheria kufanya kazi au bosi kuamua. Unafikiri marekani icho kinaweza kufanyika?
 
Kwahiyo ndio mtu kama wewe na Assad mtawafukuza hovyo wafanyakazi wa chini kisa kazi zao hazina ulinzi wa kikatiba. Unatetemea sheria kufanya kazi au bosi kuamua. Unafikiri marekani icho kinaweza kufanyika?
Jielimishe alichofanya Elon Musk baada ya kuinunua Twitter.
 
Kwahiyo ndio mtu kama wewe na Assad mtawafukuza hovyo wafanyakazi wa chini kisa kazi zao hazina ulinzi wa kikatiba. Unatetemea sheria kufanya kazi au bosi kuamua. Unafikiri marekani icho kinaweza kufanyika?
Marekani kufukuzwa kazi ni rahisi sana, ni kama kufumba na kufumbua tu macho, uzuri kule kazi ziko nyingi sana na watu wanalipwa kwa masaa au wiki.
 
Watu wote waliokuwa wanatemwa na Magu, baadae kwenye uongozi wa chura kiziwi ndio tumegundua kwamba kumbe kweli walikuwa wapumbavu tu
Marehemu kipara sahizi limebaki fuvu tu na roho yake mbaya mchwa wanasaga tu.
 
Islamophobes bhana, basi hapo sijui unajikutaje mwenyewe.
Marekani kufukuzwa kazi ni rahisi sana, ni kama kufumba na kufumbua tu macho, uzuri kule kazi ziko nyingi sana na watu wanalipwa kwa masaa au wiki.
Kwa kufuata vifungu vya sheria, mkataba wako. Yeye sasa hivi anapigania nini tofauti sana na dereva? kesi yake ipo mahakamani.
 
Dereva wake kafungua kesi?
Kesi ya Assad ilishaamuliwa na mahakama kwamba kufukuzwa kwake kulikuwa kinyume cha katiba
 
Umemsikiliza kwenye hii interview na Kikeke? Ni maneno yake anasema kesi ipo mahakamani, mpinge yeye, sikiliza tena. Kama anafikiri kuwafukuza wafanyakazi wote wa chini bila kufuata taratibu ni sawa yenye ni dikteka mkubwa sana sababu wafanyakazi wa chini ndio wengi nchi yoyote.

Sasa mtu kama huyu hajali haki za watu wa chini akiwa Rais ni matokeo kama leo, teka, tesa, ua. Huyo is nobody.
 
Kwa kufuata vifungu vya sheria, mkataba wako. Yeye sasa hivi anapigania nini tofauti sana na dereva? kesi yake ipo mahakamani.
Hakuna mkataba ambao utakuwa open tu kwamba majukumu yako yakiwa hayahitajiki au yamefikia ukomo utaendelea kulipwa tu bure. Iwe serikalini au nje ya serikali, mkataba lazima utakuwa na kipengele kwamba kama hakuna tena uhitaji wa majukumu yako utaondolewa.
 
Kwenye kozi ya udereva wanafundisha kupanga files??
Kupanga files unahitaji taaluma?, tuwe serious na maisha. Watoto wangu weekend huja ofisini na husaidia kupanga files, kwani aliambiwa aandike references?
 
Back
Top Bottom