Yaan ndugu sheria za Kaz ni so sensitive kwa wafanyakaz. Ukiajiliwa unasaini employment contract. Kwenye contract kuna responsibility au majukumu yako ya kazi utakazofanya. Pia, ukikaa mwaka mmoja unadhibitishwa kazini. Unakuwa mfanyakaz wa kudumu. Sasa responsibility zako kwenye contract ni udereva lakin unaambiwa kupanga mafaili. Tayari ni mgogoro. Unless otherwise kwenye contract wakiwa waneandika and other duties than these,which you may be assigned by your employer. Lakin components za employment contract hauwezi kuwa, assigned other duties outside the scope of your professional.