Mhigomkami
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 1,105
- 765
Mh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitaka asimlilie. Kewe anapomkumbuka?
Kama wewe huna uwezo wa kuoa au kuolewa na huijui ladha yake, usikejeli wenzako kwenye hilo .
Ulimuona Assad akililia nini kingine?
Tunafahamu kwanini mnaumia roho Muislam anapoweka historia kwenye hii nchi.Umepanik sana. Hata ulichoandika hakijulikani ni lugha gani. So Assad hajaolewa au wewe ? Wewe si uliolewa ukiwa na miaka 6 ?na umekomalia ndoani . Assad kama anaona vipi akazikwe na magufuli akadai u CAG. Otherwise afanye maisha mengine. Hakuzaliwa kuwa CAG. Kama ana madai amwandikie samia amlipe. Aache madeko na kulia lia. Na wewe kaa kwa kutulia kwa mumeo amekutoa mbali mpaka umefika umri huo.
Eeh si bora hata kikeke angekuhoji wewe na standard seven yakoNinachokiona Kwa Assad kaathirika kisaikolojia na haamini kutoka kwake pale na nahisi hiyo sehemu inalipa sana Kila akikumbuka anabaki kuweweseka akipata airtime anabwabwaja akihisi atapata huruma lkn wapi na chuki kubwa kaielekeza Kwa marehemu na misingi yake inakataza chuki hizo sijui yy inakuwaje
Tunafahamu kwanini mnaumia roho Muislam anapoweka historia kwenye hii nchi.
Huyu Mzee Kadata Aiseee, Tatizo Lingine Nimekuja kumgundua ni Mjivuni Sana na Yeye ndio Anajiona Kila kitu Anajua, Hivyo Alidhania kwenye Ile Nafasi ya CAG Angekaa Maisha Milele?Kila akishika maiki ni kulalamikia issue ya kuachishwa Kazi......Sina hakika ila nahisi palikua na jambo
Mkuu rushwa tena! mbona ni swala tano!?Prof. Assad ni bogus sana anajiona anajua kila kitu na hana busara kabisa nimefanya naye kazi akiwa Mwenyekiti wa Board moja hivi. Alishindwa kuongoza Board hiyo na Taasisi husika ilipata hasara kwa muda wote akiwa Mwenyekiti wa Board hiyo alikuwa anaendekeza rushwa sana.
Wakati akihojiwa na Salim Kikeke,
Aliyewahi kuwa CAG na kuondolewa kwa aibu kuu Prof. Assad anadai kuna mtumishi huko Morogoro aliajiriwa kama Dereva.
Lakini kwakuwa hakuwa na mtu wa kumuendesha basi wakaamua wawe wanampa kazi ya kupanga mafaili.
Jamaa baada ya kuona anafanya kazi ambazo sio zake akaamua kuandika barua akidai alipwe kwa kufanya kazi ambazo sio zake.
Huyu Prof msomi na mshika dini akamuamuru HR amfukuze kazi huyo dereva.
Hapa tunasikiliza mahojiano ya Prof. Akilalamika kufutwa kazi bila utaratibu lakini wakati huo huo anatueleza bila aibu kitendo chake cha kinyama cha kumfuta mtumishi kazi kwa kudai haki zake.
Soma Pia: Prof. Mussa Assad: Taarifa ya utenguzi wangu nilipewa siku moja kabla
Kwa elimu yake hiyo anaona ni sahihi kwa dereva kufanya kazi za kupanga file badala ya kuendesha gari kulingana na mkataba wa ajira yake??
Je yeye huyo Prof. Angeambiwa akadeki korido pale UDSm badala ya kufundisha wanafunzi kukariri madesa angefanya hivyo.
Ama kweli binadamu ni wasahaulifu sana na wanafiki mno.
Huyu keshasahau namna alivyomtenda mwenzake anaona ni haki yake kuonea wengine kwa kuwa kasoma sana ila wenzake hawana haki ya kumfuta yeye kazi.
Such an arrogant and a very useless academician.
View: https://youtu.be/eE2JoDEd43Q?si=vgPL1ihKxMpsLtel
Muwe mnatumia akili vizuri, hizi kazi nyingine ni zile zinazoendana na yale majukumu yako ya msingi. Hivi ukiajiriwa kama mhasibu, kufika kituo cha kazi ukaambiwa uwe unapika chai na lunch, utafanya hivyo kwa ajili ya kipengele hicho?Kwenye barua ya ajira (Serikalini)kuna kipengele kinasema.....".AU KAZI NYINGINE UTAKAYOPANGIWA NA MWAJIRI."
Basi unajua wewe?Nimemsikiliza pia kwa umakini mkubwa lakini nilipofikia hapo nikaona tatizo Lake.
Anaamini anajua kila kitu jambo ambalo sio kweli, hakuna mtu anajua kila kitu.
Huyo mzee anatafuta kiki..Prof. Assad ni bogus sana anajiona anajua kila kitu na hana busara kabisa nimefanya naye kazi akiwa Mwenyekiti wa Board moja hivi. Alishindwa kuongoza Board hiyo na Taasisi husika ilipata hasara kwa muda wote akiwa Mwenyekiti wa Board hiyo alikuwa anaendekeza rushwa sana.
Wakati akihojiwa na Salim Kikeke,
Aliyewahi kuwa CAG na kuondolewa kwa aibu kuu Prof. Assad anadai kuna mtumishi huko Morogoro aliajiriwa kama Dereva.
Lakini kwakuwa hakuwa na mtu wa kumuendesha basi wakaamua wawe wanampa kazi ya kupanga mafaili.
Jamaa baada ya kuona anafanya kazi ambazo sio zake akaamua kuandika barua akidai alipwe kwa kufanya kazi ambazo sio zake.
Huyu Prof msomi na mshika dini akamuamuru HR amfukuze kazi huyo dereva.
Hapa tunasikiliza mahojiano ya Prof. Akilalamika kufutwa kazi bila utaratibu lakini wakati huo huo anatueleza bila aibu kitendo chake cha kinyama cha kumfuta mtumishi kazi kwa kudai haki zake.
Soma Pia: Prof. Mussa Assad: Taarifa ya utenguzi wangu nilipewa siku moja kabla
Kwa elimu yake hiyo anaona ni sahihi kwa dereva kufanya kazi za kupanga file badala ya kuendesha gari kulingana na mkataba wa ajira yake??
Je yeye huyo Prof. Angeambiwa akadeki korido pale UDSm badala ya kufundisha wanafunzi kukariri madesa angefanya hivyo.
Ama kweli binadamu ni wasahaulifu sana na wanafiki mno.
Huyu keshasahau namna alivyomtenda mwenzake anaona ni haki yake kuonea wengine kwa kuwa kasoma sana ila wenzake hawana haki ya kumfuta yeye kazi.
Such an arrogant and a very useless academician.
View: https://youtu.be/eE2JoDEd43Q?si=vgPL1ihKxMpsLtel
Hizo kazi nyingi zinakuwa ndani ya wigo wa kada yake, mfano kupeleka barua mahali, kwenda kumchukua mtu mwingine tofauti na bosi wake aliyepangiwa.Katika utumishi wa umma wafanyakazi wamewekwa katika makundi,dereva ni kundi la "operation service"kundi hili mwajiri anaweza kumpangia kazi nyingi akiona kuna uwezekano wa kuleta ufanisi na tija kwenye idara/taasisi.
Wewe unayetumia akili vizuri kabadilishe hicho kipengele.Muwe mnatumia akili vizuri, hizi kazi nyingine ni zile zinazoendana na yale majukumu yako ya msingi. Hivi ukiajiriwa kama mhasibu, kufika kituo cha kazi ukaambiwa uwe unapika chai na lunch, utafanya hivyo kwa ajili ya kipengele hicho?
Jifunze kuelewa na sio ubishi, matumizi ya hayo maneno yana ufafanuzi ambao ushatolewa tayari.Wewe unayetumia akili vizuri kabadilishe hicho kipengele.
WEwe ndiye unapaswa kujifunza kuelewaJifunze kuelewa na sio ubishi, matumizi ya hayo maneno yana ufafanuzi ambao ushatolewa tayari.
Ana theory nyingi sanaNimemsikiliza pia kwa umakini mkubwa lakini nilipofikia hapo nikaona tatizo Lake.
Anaamini anajua kila kitu jambo ambalo sio kweli, hakuna mtu anajua kila kitu.
Wakati akihojiwa na Salim Kikeke,
Aliyewahi kuwa CAG na kuondolewa kwa aibu kuu Prof. Assad anadai kuna mtumishi huko Morogoro aliajiriwa kama Dereva.
Lakini kwakuwa hakuwa na mtu wa kumuendesha basi wakaamua wawe wanampa kazi ya kupanga mafaili.
Jamaa baada ya kuona anafanya kazi ambazo sio zake akaamua kuandika barua akidai alipwe kwa kufanya kazi ambazo sio zake.
Huyu Prof msomi na mshika dini akamuamuru HR amfukuze kazi huyo dereva.
Hapa tunasikiliza mahojiano ya Prof. Akilalamika kufutwa kazi bila utaratibu lakini wakati huo huo anatueleza bila aibu kitendo chake cha kinyama cha kumfuta mtumishi kazi kwa kudai haki zake.
Soma Pia: Prof. Mussa Assad: Taarifa ya utenguzi wangu nilipewa siku moja kabla
Kwa elimu yake hiyo anaona ni sahihi kwa dereva kufanya kazi za kupanga file badala ya kuendesha gari kulingana na mkataba wa ajira yake??
Je yeye huyo Prof. Angeambiwa akadeki korido pale UDSm badala ya kufundisha wanafunzi kukariri madesa angefanya hivyo.
Ama kweli binadamu ni wasahaulifu sana na wanafiki mno.
Huyu keshasahau namna alivyomtenda mwenzake anaona ni haki yake kuonea wengine kwa kuwa kasoma sana ila wenzake hawana haki ya kumfuta yeye kazi.
Such an arrogant and a very useless academician.
View: https://youtu.be/eE2JoDEd43Q?si=vgPL1ihKxMpsLtel
Ukiachana na ukichaa mwingine alipuzungumza hilo ni jambo muhimu sana.Lazima tujipange tumalize ujenzi wa SGR ili mzigo wote wa eastern congo uje Dar, hilo ni la msingi sana kaliongea na ni ujumbe kwa wadau wa wizara ya mawasiliano kuhakikisha hawalali mpaka kipande kilichobakia kinamalizika.