Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Mwili wangu wote unatetemeka, hasa ukizingatia huwa sina Shaka na Watumishi wakweli wa Mungu.
Nabii Denis ameusoma unabii anaodai kwamba umetoka kwa Mungu, ni siku kama mbili au tatu zilizopita.
Nimekutana nao Youtube. Nimeogopa sana.
Ujumbe huo anausoma kama ulivyo andikwa sina hakika kama ni yeye aliuandika au Karatasi ilitoka mbinguni ikiwa imeandikwa kama Enzi za Mtume Muhammad SAW alivyopokea ujumbe wa Mungu kwa kuteremshiwa Quran tukufu.
Kila mtu asikilize mwenyewe.
View: https://youtu.be/aYO5xuBhNEA?si=DobuAp4VYiPfLAMb